roby2006
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 421
- 113
Mchawi na mganga kazi yao ni moja na wote wanamtumikia shetani anachofanya mchawi ni kuja kukuloga akishakuloga inategemea na imani yako iko vp kama wewe ni mshirikini utakimbilia kwa mganga na yule mganga anakuwa na pepo la utambuzi hivyo ukifika anakuambia shida yako akishakueleza mkikubaliana anakupa masharti njoo na mbuzi au kuku ukishapeleka kuku anachinjwa na yale mapepo au majini yaliyotumwa kwa njia ya kichawi kukuletea ugonjwa yanatulia kwa muda kwasababu yamepewa sadaka ya damu ya mnyama uliempeleka na wewe unakuwa umeunganika kwenye mtandao wa nguvu za giza hivyo wakikuhitaji muda wowote wanakupata kwasababu umeingia kwenye agano ambalo ulilifanya kwa kumwaga damu kumbuka pasipo damu hakuna agano, kwa hiyo mganga na mchawi wanafanya kazi kwa kushirikiana na baba yao ibilisi na mwisho wao ni kutupwa katika ziwa la moto
nimejaribu kuuelezea kwa ufupi
nimejaribu kuuelezea kwa ufupi
jamani naomba kujuzwa,tofauti kati ya mchawi na mganga! Mganga anaweza kuwa mchawi?