Biashara ya uingizaji wa vitu Tanzania, kutoka Nje na changamoto kubwa kwa watu wa mikoani

Biashara ya uingizaji wa vitu Tanzania, kutoka Nje na changamoto kubwa kwa watu wa mikoani

OgaBoy

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2022
Posts
1,531
Reaction score
2,140
Inasikitisha kuona office nyingi ziko Dar pekee wasafirishaji kama dhl, sailenti osheni n.k hawana office baadhi ya mikoa vile vile mikoa waliyopo Wana gharama kubwa sana!, anyway watu wa mikoani tunaumia mnavyotutenga na hizi pesa zenu mnazowekeza Dar pekee why hata katika majiji tu walau kupunguza umbali hamuweki office.

Wekeni office zenu mikoa kama mwanza, Arusha, Dodoma, Tanga na mbeya kupubguza umbali .

Mfano Kuna baadhi ya kampuni ukiagiza mzigo inabidi ufikie Dar, then ianze process ya kufikisha mzigo mkoani kwako ni gharama juu ya gharama.

Au mnachangamoto ipi je mikoani hakuna biashara ni dar tu!, mana Kuna vitu havipo hata Dar/Dah na vikiwepo Kuna wapigaji balaa.
 
Back
Top Bottom