Biashara nzuri kwa kipindi hiki ni zile zinazo "involve cash" vinginevyo andika ni maumivu tu.Na Corona hii uchumi ulivyozorota dunia nzima sikushauri ufanye hata kama iwe inalipa kiasi gani utalizwa ujute
Kuna thread iko humu imeelezea vizuri sana! Niko hospital nikitoka nitaitafuta kama utakua hujaipata
Mkuu ni biashara nzuri ila ufanisi wake unategemea aina ya watu unaowatarget.
Kuna takataka hata ukizikopesha pesa bila riba na ukazipa grace period ya mwaka mzima bado zitakudhulumu tu.
Nimeshatoka ngoja niitafute
Biashara nzuri kwa kipindi hiki ni zile zinazo "involve cash" vinginevyo andika ni maumivu tu.
Mother wangu anafanya hiyo biashara mfano anakukopesha laki moja unalipa laki na 50 kwa mwezi na anamikataba unaandik piah saini ya mjumbe wako dhaman ya kitu , hasara zipo kuna wengin wanadhurum kutokulip kwa wakat sometimes kesi zinaendag hadi mahakamn
Na Corona hii uchumi ulivyozorota dunia nzima sikushauri ufanye hata kama iwe inalipa kiasi gani utalizwa ujute