Biashara ya ukopeshaji pesa kwa riba

i wish hii post+comment yako ingekuep0 kabla ya mwezi wa 11 mwaka 2019. asee kilichonitokea sikai niamini kila nikikumbuka mtu from uMILLIONAIRE to nothing inauma mnoooo yaan

Sent from my SM-J320F using Tapatalk

Uli invest sh. Ngapi huko boss?
 
Apa napingana na wewe maana ukumbuke kwamba changamoto ya mwenzako ndo fursa yako na ndo chanzo cha mapato yako , mfano wewe biashara unayoifanya ni mpaka wale watu wenye uhitaji na icho kitu unachokiuza ama kusupply waje ndo wewe unauza huduma yako sasa ukisema kwamba wakopeshaji wa aina hii wanatajirika kupitia shida za watu hii si kweli asee maana pia na wao waliona kwamba watu wanachangamoto ya kutokukopesheka kwenye ixo microfinance unazozisema na wanakuwa wanahitaji huo mkopo ivyo wakaichukua kama fursa na sasa wanapata kipato

Sent using Jamii Forums mobile app
 
asante sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mkuu wafanya biashara wajasiriamali tuna mioyo migumu sana yaani kufirisika ni dakika zero.
i wish hii post+comment yako ingekuep0 kabla ya mwezi wa 11 mwaka 2019. asee kilichonitokea sikai niamini kila nikikumbuka mtu from uMILLIONAIRE to nothing inauma mnoooo yaan

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
 
Kuna baby wangu alinikopesha hela.
Vha ajabu hata sijailipa na bado nikapatwa na shida nyingine akanisaidia.
Na akanitumia na tena na tena.
Ila bado nadaiwa nitamlipa tu [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Hahahaha, huyo sawa
 
Huyu yeye anafanyaje mkuu
yeye anacheza rough moja kubwa kuliko maana yy anakopesha watumish wa serikali na wanaoelekea kustaafu tuuu. anachofanya n kwamba anakupa mkopo then mnaandiishiana kwamba mshahara ukiingia bas yy anaenda kutoa pesa alokukopesha plus riba then ndo unaenda kuchukua ATM yako (mana wakat wa kuchukua mkopo unaacha atm, na sometime huwa anabadlisha hata paswed za atm ili usije ukaenda kusema umeipoteza). sasa bhaana kwa wastaafu ndo utacheka maana anaweza kumkopesha mtumishi laki 2 yaan ile mkopaji.anaondoka tu,jamaa anaongeza sifuri moja inakuwa milion 2 sasa njoo uone riba yake saasa asee watu huwa wanalia n balaa.

japo jamaa anapata pesa but its certain kind of robbery.

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
 
Hawezi kuuza mpaka wewe useme mweny mali kwamba uza nimeshindwa kulipa. Tofauti na hapo ulipe pesa za zake akupe Mali yako.
na ikitokea mkopeshaj ni jeuri hataki kulipa, na kaenda kushtaki anataka arudishiwe mali yake?

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
 
good

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
 
Hizo namna unazosema huyo nduguyo anafanya dhuruma kwa kigezo cha shida ya mtu,mkopeshaji hua anatakiwa kujua kuna kurudishiwa deni kwa wakati au kucheleweshewa kulingana na hali ya kibiashara ya mkopaji,iko siku atakua na haki na atakutana na kisimi kimng'oe jicho na kipotee,utakuja kuhadisia kivingine tena. Shika hili lenye nimesema ili uje uwe shahidi

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 

Wengine anakupa ATM Card yake na ikikaribia mwisho wa mwezi anaenda kusema kule bank kwamba amepoteza card yake na mwishowe pesa yake ataitolea ndani(counter).
 

Kisimi tena.?
 
Yeah sure; ni aina flani ya ujanja ujanja. Na mbaya zaidi huwa hawa akiki kama Mali ni zako kweli ama za wizi: wao wanapokea tu.

Sema microfinance nyingi sikuhizj hazifuati taratibu kama hizi ulizoziorodhesha.( wanafanya watakavyo sababu mamlaka zimelala)

BoT wametoa muongozo mzuri ila kama navyojua Tanzania nchi yangu kwenye swala la ufuatilaji na utekelezaji wa sheria zilizowekwa Mara nyingi ni mdogo.
 
Nakumbuka kuna mchizi wangu yeye huwa anakopesha kwa 20% ya pesa atakayokupatia marejesho ni ndani ya mwezi mmoja tu ...kigezo kimojawapo ni mkopaji awe mtumishi wa serikali au Sekta binafsi inayotambuliwa kwa mujbu wa sheria....Wakopaji wengi muda wa marejesho ukifika wanalipa riba tu kisha wanaendelea kubaki na deni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…