Biashara ya ukopeshaji pesa kwa riba

Wengine anakupa ATM Card yake na ikikaribia mwisho wa mwezi anaenda kusema kule bank kwamba amepoteza card yake na mwishowe pesa yake ataitolea ndani(counter).

Unajua usumbufu wa kupotelewa na kadi ya bank wewe? Na utakuwa unaenda kila mwezi kusema umepotelewa na kadi?

HIVI kwann akili zetu zinawaza kwenye low capacity kiasi hiki? Mtu mzima unaanze kusema ataenda Bank kusema amepoteza kadi kisa 100k? Utaenda mara ngapi? Kwa taarifa yako wakopaji wa kwenye hizo biashara huwa addicted sana yaan hawaachi na huwa na urafiki mkubwa na mkopeshaji.

Ni ngumu sana kwa hivyo ulivyosema.. ALWAYS WAKOPAJE WA HUO MFUMO NI WATU WENYE TAMAA HIVYO NI NGUMU SANA KUWATOA.
 
naona yy anafanya vzur kushika mali asee mm pesa yangu ndefu imepotea kwny hii bussness mana wadaiwa wamekausha kama hawana deni vile na huez wapeleka polis coz huna lesen ya kukopesha.

Sent from my SM-J320F using Tapatalk

wapeleke BoT wametoa grace period had oktoba 2020, polisi utawaambia umeshafanya application ya leseni yoka BOT, na BOT bado kujujibu kutokana na mchakato wa maandalizi ya noti mpya.
hapo wadawa wako wanaweza anza kulipa madeni yako.
 
Sina huo mtaji sema nimefanya kazi kwenye hizo financial institutions.
Sasa hivi nikienda huko ninaenda kama mteja wa kukopa.

Ah so una kauzoefu... Basi njoobuwe secretary ila usije nitega tukaishia kugegedana na biashara tusifanye hhahaa
 
Nitafutie hao watu
 

Bado mjinga kuna mobile way mtu anaweza vuta pesa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Aiseee!! Huyu ni jambazi.
 
Ukitaka kufanya nitafute nina udhoefu wa micro credit ya one year, najua changamoto na njia sahihi ni ipi kupata profit hii biashara inahitaji umakini mwanzo mbaya ndo huaribu mwisho, and never miss any step during dispatching, inahitaji uvumilivu. 0712 605 935

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ukishasajili, hiyo biashara haiwezi kuwa na faida kiasi hicho,

Maana ninachojua mimi BOT ndio wanapanga hadi ukomo wa riba, sasa wakopeshaji hawa wa kitaa wanaweka riba ya 30%to 50% kwa mwezi ambayo kwa mwaka ni 360% to 600%. Hiki kitu BOT hawapo tayari kuruhusu

Kwa hiyo bora ku apply mbinu ya kuchukua mali za wakopaji kama bond ili kupiga maisha (japo ni illegal). Nadhani kuna loop holes za kukwepa mkono wa sheria hapo
Na ndo minimum inayotakiwa na BOT. Kasajili kabisa chukua na mlango uwe na microfinance.
 
Usibishe

Kuna jamaa namfahamu vizuri sana, alipoona hawezi kulipa deni na muda wa kulipa umekaribia akasingizia kwamba ATM card imepotea

 
Kuna jamaa anakwepa mkono wa sheria wa microfinance act kwa kumiliki hardware

Wanapokuja kukopa hela wanaandikisha kama wamekopa kifaa cha ujenzi

Mfano mtu anayekuja kukopa laki moja anaandikisha kama amekopa mifuko 6 ya simenti

Kwenye kudaiana jamaa anadai hela ya sementi lakini ki ukweli anachodai ni hela yake aliyotoa na riba yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtu yoyote anayekopesha kwa riba ni dhulma haijalishi kubwa au ndogo.

Pili dunia ya Sasa ukitoa pesa kiungwana watu hawana wema hawakulipi kwahyo uchaguzi ni wa mtu binafsi .hakuna mtu anayelazimishwa kukopa
 
Halafu zikifika Mahakamani huwa inakuwaje? Mama huwa ANASHINDA KESI?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na ikitokea mkopeshaj ni jeuri hataki kulipa, na kaenda kushtaki anataka arudishiwe mali yake?

Sent from my SM-J320F using Tapatalk
Unadhani unapewa pesa tu bila maandishi mkuu. Makubaliano lazima yawepo na ushahidi na mashahidi wa pande mbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…