MOMPRENEUR
Senior Member
- Jun 18, 2016
- 195
- 126
plasticHapo inabid utoe specification kwamba unataka vofungashio vya namna gan plastic or karatas itakuwa vizur tukianzia hapa
na target maboss na online customersHapa kuna vitu vichache vya kuzingatia ili ujue utatumia vifungashio gani.
Una target wateja wa aina gani na hizo bidhaa bei zako umezipangaje? Nakuuliza hivyo kwa sababu kama unatarget mabosi wao wanaexpect packaging ya kueleweka na mara nyingi hawana tatizo na bei lakini kama una target walalahoi wao wapo very price sensitive hadi haelewi thamani ya packaging. Kama una target walalahoi kuna mifuko ya khaki inauzwa kariakoo inakuwa 50 au 100 not sure, watu wengi wenye bakery wanaitumia.
na target maboss na online customers
i mean social mediaUnavyosema online do you mean e commerce au social media.
tofaut na kaki hakuna vifungashio vzur zaid kwa Tanzania hii?
ok shukranTofauti na khaki, nazani ni mifuko transparent laini kama ile ya mikate. Mcheki bakhressa ana kampuni yake ya packaging inaitwa OPIL ipo pugu rd kama anatengeneza iyo mifuko.
kuweka label ndo plan yang.Kinachonikwamisha ni pakuvipata hvo vifungashio.Kama unapafaham nielekeze plzVifungashio vinauzwa, ukitaka kuboresha zaidi unatengeneza na label yako unaweka na contact ili vikiwa poa tukupigie ku order tena....
All the best
Upo wapi? Vinapatika kwenye maduka ya wajasiriamalikuweka label ndo plan yang.Kinachonikwamisha ni pakuvipata hvo vifungashio.Kama unapafaham nielekeze plz
Maduka ya wajasiriamali ndo wapi?Upo wapi? Vinapatika kwenye maduka ya wajasiriamali
Maduka ya wajasiriamali ni maduka yanauzaga mahitaji spesho kwa ajili ya wajasiriamali, ukitaka vifungashio vipo vya kila aina, ukitaka kutengeneza sabuni materials unapata hapo n.k n.k dar kariakoo yapo japo sijawahi kwenda Dodoma yapo barabara ya 8 na 9,na duka la vifungashio tu lipo nyuma ya jengo la ccmMaduka ya wajasiriamali ndo wapi?
npo darUpo wapi? Vinapatika kwenye maduka ya wajasiriamali
Kama umekosa vifungashio hapa nchini, unaweza ukaagiza China tena wanaweza kukutengenezea vikiwa na label yako na kwa gharama nafuu kabisa. Unaweza kunicheki ili nikusaidie namna ya kuagiza hivyo vifungashio.Nnataka nianze biashara ya kutengeneza vitafunwa vya kuoka lakn sina vifungashio.Msaada wenu na ushaur tafadhal.Mfano wa vitafunwa ni kama hyo pcha chini