Biashara ya Usafirishaji kwa Bajaji: Ueandeshaji, Changamoto, Faida na Ushauri

Vipi mkuu ulishanunua bajaj
 
Bora undeshe mwenyewe utaiona faida Kubwa zaidi,kumpa mtu mwingine ni stress ++.
 
Natafuta bajaj used wakuu, mwenye nayo tafadhali tuwasiliane
 
Kwaupande wangu kuliko Bajaji 1 tuchukulie mpya, ya milioni 7.2 bora ukanunua pikipiki aina ya Boxer 3, kwa milioni 6 na laki 6. Zitakulipa zaidi hasa kama unazitoa kwa mkataba.
 
Kwaupande wangu kuliko Bajaji 1 tuchukulie mpya, ya milioni 7.2 bora ukanunua pikipiki aina ya Boxer 3, kwa milioni 6 na laki 6. Zitakulipa zaidi hasa kama unazitoa kwa mkataba.
Wazo zuri zaidi, binafsi bajaji ni very expensive nadhani hio bei kwa kuagiza mwenyewe india waweza nunua bajaji mbili town.
 
Wazo zuri zaidi, binafsi bajaji ni very expensive nadhani hio bei kwa kuagiza mwenyewe india waweza nunua bajaji mbili town
Kwenye kuagiza unaweza hata ukanunua 3. Tatizo inakuja hapa kwetu kwenye maswala ya Bandarini na T.R.A yaani shida tupu. Mimi kuna jamaa alitaka kunitumia gari kutokea MAYOTTE, nilishindwa kuileta hapa. Inge ozea bandarini.
 
Jamaa wanatunyonga sana
 
Pilipiki na bajaj ingia mkataba na dereva fanya mahesabu unahitaji kiasi gani na faida baada ya hapo inakuwa yake ndio drevs ataitunza vizuri
 
Wanajamii wenzangu, nimeoa wazo la kununua bajaj 3 kwa mkupuo nifanye biashara ambayo kwa siku nitakua naingiza kiasi cha shilingi elfu 60.

Tafadhali kabla ya kununua naomba mnipe mawazo yenu je biashara sahihi au nibadilishi biashara? Nawekeza kiasi cha milioni 15
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…