Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa bei hiyo mwaka utaisha pesa ya kununulia bajaji haijarudiTafuta Dereva mwaminifu nA mwenye ujuzi wa kaz na mpe mkataba na awe anakuletea Tsh 140000 kwa week.
Zingatia "ujuzi" na "historia ya Uaminifu"
Nunua TvS King M 7.2
Vipi mkuu ulishanunua bajajNawasalimu wakuu woote wana JF.Mwenzenu nimepata kamshiko km 8m sasa ninataka ninunue bajaj najua hapa mjini dar zinatumika sana,naomba kwa yeyote mwenye uzoefu anisaidie ni shs ngapi dereva anatakiwa alete kwa siku?au week? nashukuru naelewa humu ndani wapo wengi wanaofanya hii biashara!!je does it worth?asanteni sana nasubiri majibu hapo chini!!
7.2MBajaj mpya tvs ni bei gani????
DDuuuh wewe nae? Tokea 2009 Leo 2018? Ndio unauliza? Sikuzote ulikuwa wapi?Vipi mkuu ulishanunua bajaj
Hahahaa we ulifikiri bei ganikumbe bajaj mpya inauzwa bei hivyo aisee duuu
Hii si bei ya brevis mkononi hio7.2M
Zilikua 3M wakati zinaingia Demand imekua kubwa mno na kibaya zaidi anaagiza ni mhindi mmoja tu so anajipangia tuu bei.Hii si bei ya brevis mkononi hio
Wazo zuri zaidi, binafsi bajaji ni very expensive nadhani hio bei kwa kuagiza mwenyewe india waweza nunua bajaji mbili town.Kwaupande wangu kuliko Bajaji 1 tuchukulie mpya, ya milioni 7.2 bora ukanunua pikipiki aina ya Boxer 3, kwa milioni 6 na laki 6. Zitakulipa zaidi hasa kama unazitoa kwa mkataba.
Kwenye kuagiza unaweza hata ukanunua 3. Tatizo inakuja hapa kwetu kwenye maswala ya Bandarini na T.R.A yaani shida tupu. Mimi kuna jamaa alitaka kunitumia gari kutokea MAYOTTE, nilishindwa kuileta hapa. Inge ozea bandarini.Wazo zuri zaidi, binafsi bajaji ni very expensive nadhani hio bei kwa kuagiza mwenyewe india waweza nunua bajaji mbili town
Jamaa wanatunyonga sanaKwenye kuagiza unaweza hata ukanunua 3. Tatizo inakuja hapa kwetu kwenye maswala ya Bandarini na T.R.A yaani shida tupu. Mimi kuna jamaa alitaka kunitumia gari kutokea MAYOTTE, nilishindwa kuileta hapa. Inge ozea bandarini.
Ninayo nauza nitafuteNatafuta bajaj used wakuu, mwenye nayo tafadhali tuwasiliane
Uko wapi? Mkuu bajaji ipo Dodoma.Natafuta bajaj used wakuu, mwenye nayo tafadhali tuwasiliane
Njoo pm tuyajengee mkuu.Uko wapi? Mkuu bajaji ipo Dodoma