Kwa uzoefu wangu kirikuu nzuri mi carry ya kichwa kikubwa.aise nimepata kitu humu, je mnaweza kutapa ufafanuzi juu ya kirikuu? Ni ipi bora kati ya kirikuu na bajaji? na bei ya bajaji kwa sasa ni sh ngapi? min and maximum price
Hello wakuu salaam zenu
kwa wale wazoefu na biashara ya bajaji naombeni mnipe mchanganuo coz kuna pesa kiasi hapa nataka kwekeza katika biashara hio , na pia ni bajaji gani ni imara kati ya boxer, Piaggio, au Atul?
Msaada wenu ni muhimu sana katika hili.
Mkuu hiyo bima kubwa ni shilingi ngapi?Mkuu me nafanya hiyo biashara..na mpk sasa ninazo mbili! inalipa sana hapa town ila kwa njia ya mkataba otherwise itakutesa kama huyo mkuu hapo aliyekua anachukua 15 kwa siku!
Ni hiv mkataba huwa ni miez kumi na 8 (mwaka na nusu) na kwa siku kipande ni elfu 20 na anakupa kwa wik = laki na 40/- kwa mwez ( x 4 = 560,000/-) kwa mwaka na nusu itakua 560,000 x 18 = tshs 10080000/-
Kuhusu matengenezo huduma zote za kawaida anafanya dereva icpokua huduma kubwa kubwa tu ndo utahusika tena kwa kushea gharama na dereva!
Kuhusu ipi ni bora' kwa mkataba bora piagio siyo TVS
Kwann piagio? Kwasababu inanafas kubwa ya abiria kukaa na mizigo pia ukilinganisha na TVS
Tvs ni nzuri kwa mtu anaefanya biashara bila mkataba kwasababu ikimrudishia hela ni rahis kuiuza (inauzika kirahis/inasoko kubwa) na hii ni kwasababu ziliwah kuingia hapa bongo kabla ya piagio)
Uimara wa chombo uko mikonon mwa dereva! ila piagio sina shaka nazo kwenye uimara!
Nin faida ya kuingia mkataba?
1/ Bajaj haihitaj uangaliz mkubwa kwasabab dereva anajua baada ya miez kumi na 8 bajaj ni yake! ( hawez kuitumia roughLy)
2/ Ni win-win project yaan wote wanufaika dereva na boss pia hivyo bas haitakua kaz ngumu kumpata dereva
3/ Huduma za mara kwa mara hazitakuepo mana anakua anaiendesha kwa uangalifu mfano, hata *dei waka huwa hawatoi hawa madereva wa mikataba na kama ikitokea service anamaliza mwenyewe unLess iwe kubwa na pia mtashea gharama!
4/ Payback period ni kubwa kwa muda mfupi..
ANGALIZO>> usisahau kukatia BIMA bajaj yako tena BIMA kubwa! ili uondokane na stress inapokua barabarani!
C bora uwe na bodaboda 3 za mkataba wa miezi 12 wa elfu 10 kwa siku ambayo itakuletea kiasi kama hicho cha bajaj ambayo inachukua miez 18!!?Mkuu me nafanya hiyo biashara..na mpk sasa ninazo mbili! inalipa sana hapa town ila kwa njia ya mkataba otherwise itakutesa kama huyo mkuu hapo aliyekua anachukua 15 kwa siku!
Ni hiv mkataba huwa ni miez kumi na 8 (mwaka na nusu) na kwa siku kipande ni elfu 20 na anakupa kwa wik = laki na 40/- kwa mwez ( x 4 = 560,000/-) kwa mwaka na nusu itakua 560,000 x 18 = tshs 10080000/-
Kuhusu matengenezo huduma zote za kawaida anafanya dereva icpokua huduma kubwa kubwa tu ndo utahusika tena kwa kushea gharama na dereva!
Kuhusu ipi ni bora' kwa mkataba bora piagio siyo TVS
Kwann piagio? Kwasababu inanafas kubwa ya abiria kukaa na mizigo pia ukilinganisha na TVS
Tvs ni nzuri kwa mtu anaefanya biashara bila mkataba kwasababu ikimrudishia hela ni rahis kuiuza (inauzika kirahis/inasoko kubwa) na hii ni kwasababu ziliwah kuingia hapa bongo kabla ya piagio)
Uimara wa chombo uko mikonon mwa dereva! ila piagio sina shaka nazo kwenye uimara!
Nin faida ya kuingia mkataba?
1/ Bajaj haihitaj uangaliz mkubwa kwasabab dereva anajua baada ya miez kumi na 8 bajaj ni yake! ( hawez kuitumia roughLy)
2/ Ni win-win project yaan wote wanufaika dereva na boss pia hivyo bas haitakua kaz ngumu kumpata dereva
3/ Huduma za mara kwa mara hazitakuepo mana anakua anaiendesha kwa uangalifu mfano, hata *dei waka huwa hawatoi hawa madereva wa mikataba na kama ikitokea service anamaliza mwenyewe unLess iwe kubwa na pia mtashea gharama!
4/ Payback period ni kubwa kwa muda mfupi..
ANGALIZO>> usisahau kukatia BIMA bajaj yako tena BIMA kubwa! ili uondokane na stress inapokua barabarani!
Only risk takers can survive and succeed in any business.- itaharibika mara ngapi mwaka mzima?
- haitafanya kazi mara ngapi kwa sababu ya dereva mgonjwa au safari binafsi(lets say matatizo)
-utatumia wewe kwa matumizi yako binafsi mara ngapi.?
-itakamatwa na polisi mara ngapi(kutoa rushwa)
- etc..
Baada ya mwaka unasema unamwachia,bajaji umenunua mil 5 mwisho wa mwaka umepata mil 10 na bajaji umemwachia mtu huoni faida inakuwa ni chini ya mil 5 mwaka mzima? Na umempa mtu mil 5 hivi hivi? Halafu utanunua mpya au??????
Umesahau kuwa siku nyingine naye hapati kitu na ww unamkomalia hesabu yako bila huruma. Usiangalie upande mmoja wa shilingi mkuu.Dahh biashara bomba sana kama utaendesha mwenyewe but kama ya kumkabidhi mtuu dahh majanga sana. Mi nilikiwa na yangu kipande 15 kwa siku, but dereva alikiwa anaingiza total 55000 kwa siku akitoa wese 12000, ya bosi 15 kinachobaki chake but ikizingua chochote ni lako wewe mwenyebajaji. Yako ikiwa mbovu anachakupoteza anapiga dayworker, nilikuwa na komaa mwenyewe ahhh mbona safi tuu
Huu ndio ushauri mzuri, ukitegemea kumuweka mtu akuletee tu ni kazi bure, mi hii kitu ilishaniliza, niliweka mtu ikawa ni usumbufu tu mwishowe nikauza, kama vipi unaweza endesha mwenyewe for supernormal profit.Fanya hivi ingia na mtu mkataba wa mwaka mmoja. baada ya mwaka unamwachia. Terms ni kwamba kila siku lazima alete pesa endapo ikifika week hajaleta mnamnyang'anya. Matengenezo yoyote juu yake. Kila siku anakuletea 30k. 30,000*30*12=10,800,000
Hiyo business kichefuchefu hata ukimpata kijana mstaarabu, labda tu uendeshe mwenyewe ndipo utaona faida, ni upuuzi kusubiri faida ya 2mln kwa mwaka mzima.Mkuu hamna biashara inayokosa changamoto so ni kumpa moyo na kumpa ushauri mzuri mkuu...karibu Sana Event 9 limited tukusaidie kuhusu biashara hii
Nikweli nitajitahid niwe na fundi wangu siku ya kununua, ila napenda kujua pia changamoto za biashara hii.Angalia tu isiwe mbovu mbovu