Justineagaeli
New Member
- Oct 29, 2022
- 1
- 1
Bado unatengenezaTANGAZO
Kwa wahitaji wa laini za uwakala zenye majina yao natengengeza hizo kwa muda muchache inakamilika ndani ya masaa 24.
Laini zinatengenezwa ni kama zifuatazo:
NB malipo ni baada ya kazi[emoji736][emoji736]
Inategemea na mzunguko wako mkuu, usimkatishe tamaa we mtajie tu huo mtaji wa kuanza nao basNje ya mada:
Biashara ya kiboya sana.
Nimeweka laini zangu ndani baada ya kuona biashara ya hovyo.
Narudi ndani ya mada:
Biashara hii inahitaji mtaji mkubwa mfano unatakiwa uwe na angalau Tsh10,000,000/= ili uweze kuhudumia wateja wengi wa kuweka na kutoa.
Ila mwisho wa mwezi usishangae ukipata malipo ya Tsh500,000/= kwa mitandao yote ya simu(namaanisha ukijumlisha malipo yote utashangaa una laki tano tu).
Napinga hii kauli ya kuwa eti mpaka uwe na millioni kumi na kuhusu kamisheni inatokana na utendaji wako wa kazi, Hayo mengine ni mbwembwe,Nje ya mada:
Biashara ya kiboya sana.
Nimeweka laini zangu ndani baada ya kuona biashara ya hovyo.
Narudi ndani ya mada:
Biashara hii inahitaji mtaji mkubwa mfano unatakiwa uwe na angalau Tsh10,000,000/= ili uweze kuhudumia wateja wengi wa kuweka na kutoa.
Ila mwisho wa mwezi usishangae ukipata malipo ya Tsh500,000/= kwa mitandao yote ya simu(namaanisha ukijumlisha malipo yote utashangaa una laki tano tu).
Remember it's my own biasennes, judgement, opinions, subjectivity, beliefs,assumptions, experiences become objective to others.Nje ya mada:
Biashara ya kiboya sana.
Nimeweka laini zangu ndani baada ya kuona biashara ya hovyo.
Narudi ndani ya mada:
Biashara hii inahitaji mtaji mkubwa mfano unatakiwa uwe na angalau Tsh10,000,000/= ili uweze kuhudumia wateja wengi wa kuweka na kutoa.
Ila mwisho wa mwezi usishangae ukipata malipo ya Tsh500,000/= kwa mitandao yote ya simu(namaanisha ukijumlisha malipo yote utashangaa una laki tano tu).
Mkuu acha kumtisha Mimi mtaji wangu Ni 1.5m napata faida ya 200k -300k kwa mwezi...ukiwa na mtaji mkubwa halaf ikawa ulipo hakuna wateja inaboa sanaNje ya mada:
Biashara ya kiboya sana.
Nimeweka laini zangu ndani baada ya kuona biashara ya hovyo.
Narudi ndani ya mada:
Biashara hii inahitaji mtaji mkubwa mfano unatakiwa uwe na angalau Tsh10,000,000/= ili uweze kuhudumia wateja wengi wa kuweka na kutoa.
Ila mwisho wa mwezi usishangae ukipata malipo ya Tsh500,000/= kwa mitandao yote ya simu(namaanisha ukijumlisha malipo yote utashangaa una laki tano tu).
UKISOMA HAPA, UNAWEZA KUKATA TAMAA.Nje ya mada:
Biashara ya kiboya sana.
Nimeweka laini zangu ndani baada ya kuona biashara ya hovyo.
Narudi ndani ya mada:
Biashara hii inahitaji mtaji mkubwa mfano unatakiwa uwe na angalau Tsh10,000,000/= ili uweze kuhudumia wateja wengi wa kuweka na kutoa.
Ila mwisho wa mwezi usishangae ukipata malipo ya Tsh500,000/= kwa mitandao yote ya simu(namaanisha ukijumlisha malipo yote utashangaa una laki tano tu).
Miamala Ina hela mno. Kuna jamaa mmoja alikuwa ndiye aliyefanya miamala mingi kwa mwakaa mzima. Waliitwa na bank ya nmb wakakaa wakapewa wanapewa maujuzi. Waliofanya vizuri wakapewa zawadi. Jamaa alikuwa anaingiza si chini 12M na yupo vijijini sema alikuwa na vituo vingi.Jamii forum hii ukiwa mjinga utaamini kila mtu ni tajiri na anafanya biashara kubwakubwa sana,,,,angalia michango ya watu humu ndani wanaiponda hii biashara kuwa ni kichaa wakati mimi nawaona wengi tu wanaishi vizuri sana na wanasaidia watu kwao kwahii biashara ya uwakala