Biashara ya uwakala wa simu na benki (M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, fahari huduma na NMB Wakala) unaweza kuanza kwa mtaji wa shilingi ngapi?

Biashara ya uwakala wa simu na benki (M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, fahari huduma na NMB Wakala) unaweza kuanza kwa mtaji wa shilingi ngapi?

Ndugu kupata machine za uwakala wa CRDB na NMB n mziki sana.
 
Hello great thinkers! Leo nimeanza rasmi biashara ya Vinywaji~rejareja pamoja na uwakala wa mitandao yote. Eneo ni changamfu na kuna watu tunaofahamiana(wateja wa uhakika hawa).

Naomba kufahamishwa mazuri na changamoto za biashara husika, fursa zaidi zilizopo na jambo lolote lenye kujenga/tija.

Nimefanya maboresho kwa kuweka muonekano mzuri wa frem na mazingira ya Ofisi, lengo ni kuwapata wateja wote, wa chini kati na juu!
Asanteni.
 
Asante sana kwa ushauri, vinywaji ni vya moto&baridi kwa mfumo wa rejereja. Naendelea kuongeza aina kulingana na uhitaji. Kuhusu fedha nimeelewa na nitaendelea kuzingatia. Shukria.
 
TANGAZO

Kwa wahitaji wa laini za uwakala zenye majina yao natengengeza hizo kwa muda muchache inakamilika ndani ya masaa 24.

Laini zinatengenezwa ni kama zifuatazo:

NB malipo ni baada ya kazi[emoji736][emoji736]
Bado unatengeneza
 
Nje ya mada:

Biashara ya kiboya sana. Nimeweka laini zangu ndani baada ya kuona biashara ya hovyo.

Narudi ndani ya mada:

Biashara hii inahitaji mtaji mkubwa mfano unatakiwa uwe na angalau Tsh10,000,000/= ili uweze kuhudumia wateja wengi wa kuweka na kutoa.

Ila mwisho wa mwezi usishangae ukipata malipo ya Tsh500,000/= kwa mitandao yote ya simu(namaanisha ukijumlisha malipo yote utashangaa una laki tano tu).
 
Nje ya mada:
Biashara ya kiboya sana.
Nimeweka laini zangu ndani baada ya kuona biashara ya hovyo.

Inategemea na mzunguko wako mkuu, usimkatishe tamaa we mtajie tu huo mtaji wa kuanza nao bas
 
Uηαтαкα кυsεмαנε кωαηι ,нιι ηι вιαsнαяα кιcнαα αυ?
 
Mkuu inategemeana na mzunguko wako wa biashara pesa ya huduma za KIFEDHA hua hazitoshi unaweza kuwa na milion 10 lakin nado zikakupelea, unaweza kuwa na milion 2 na zikakutosha.

Hii biashara Haina limit ya mtaji nachoweza kusema mtaji wowote ule unatosha kulingana na mahitaji ya wateja wako.
 
Nje ya mada:
Biashara ya kiboya sana.
Nimeweka laini zangu ndani baada ya kuona biashara ya hovyo.

Narudi ndani ya mada:
Biashara hii inahitaji mtaji mkubwa mfano unatakiwa uwe na angalau Tsh10,000,000/= ili uweze kuhudumia wateja wengi wa kuweka na kutoa.

Ila mwisho wa mwezi usishangae ukipata malipo ya Tsh500,000/= kwa mitandao yote ya simu(namaanisha ukijumlisha malipo yote utashangaa una laki tano tu).
Napinga hii kauli ya kuwa eti mpaka uwe na millioni kumi na kuhusu kamisheni inatokana na utendaji wako wa kazi, Hayo mengine ni mbwembwe,

Mfano;
kila siku wakija wateja 20 na kila mmoja kutoa kiasi cha shillingi 5000 tu unapata 240 kwa kila muamala mmoja yaani 20x240=4800 kwa siku

pia ili upate hesabu ya mwezi ni 4800x30=144,000 hii ni kwa laini moja na nimeweka kiwango cha chini cha kutoa,kadri pesa inayotolewa kuwa kubwa na kamisheni inaongezeka pia, ukijumlisha miamala ya kuweka unapiga hatua

Kikubwa ni locationi tu.
 
Nje ya mada:
Biashara ya kiboya sana.
Nimeweka laini zangu ndani baada ya kuona biashara ya hovyo.

Narudi ndani ya mada:
Biashara hii inahitaji mtaji mkubwa mfano unatakiwa uwe na angalau Tsh10,000,000/= ili uweze kuhudumia wateja wengi wa kuweka na kutoa.

Ila mwisho wa mwezi usishangae ukipata malipo ya Tsh500,000/= kwa mitandao yote ya simu(namaanisha ukijumlisha malipo yote utashangaa una laki tano tu).
Remember it's my own biasennes, judgement, opinions, subjectivity, beliefs,assumptions, experiences become objective to others.

I do not see, then believe.Instead I believe, then see my perception of reality from those beliefs. This is a critical distinction.So I am never seeing and experiencing the reality I believe I see. Instead, I perceive a story that the brain has made up that explains all the “stuff”going on in my world.That is exactly what my rationalizing/conscious thinking brain does–it creates stories or narratives that make sense of the world in which I live.
 
Unapoanza biashara usiangalie mtaji kwanza cheki potentiality ya Iyo biashara kwa Ilo eneo husika.
Usianze biashara kisa unao mtaji. Anza biashara Mana kitu kipo kwenye akili yako na unao ujuzi. Biashara Kama ipo ama Kama unayo strong mind unaweza unaanza na 100M mie nikaanza na 20M Ila baada ya 5yrs mie nikawa mbali kuliko wewe mwenye kuanza na 100M.

Ishu kubwa ni your mindset ndiyo inayowaza na inafanya mdomo,miguu,mikono kuyafanya yaliyo kichwani.
Hapa Ni uzoefu umenifanya nikaongea hivi na makatarasi kidogo ma PDF fulani na nakubaliana nayo kabisa.

Nimekukibu jibu ambalo wengi hawalipendi Ila ngoja nikujibu kulingana na jibu unalopenda kusikia ama kutegemea kulipata.

Tigo, Airtel weka salio angalau la 5 kila line.

Ezypesa and halotel weka 200k kila moja .

Voda weka 250k- 1M

Kuwa na casha isiyopungua 500k -1M Ila bado wapo wenye kuanzia na 200k -1M wanajichanganya kwa iyo biashara na wanatoboa.
 
Nje ya mada:
Biashara ya kiboya sana.
Nimeweka laini zangu ndani baada ya kuona biashara ya hovyo.

Narudi ndani ya mada:
Biashara hii inahitaji mtaji mkubwa mfano unatakiwa uwe na angalau Tsh10,000,000/= ili uweze kuhudumia wateja wengi wa kuweka na kutoa.

Ila mwisho wa mwezi usishangae ukipata malipo ya Tsh500,000/= kwa mitandao yote ya simu(namaanisha ukijumlisha malipo yote utashangaa una laki tano tu).
Mkuu acha kumtisha Mimi mtaji wangu Ni 1.5m napata faida ya 200k -300k kwa mwezi...ukiwa na mtaji mkubwa halaf ikawa ulipo hakuna wateja inaboa sana
 
Nje ya mada:
Biashara ya kiboya sana.
Nimeweka laini zangu ndani baada ya kuona biashara ya hovyo.

Narudi ndani ya mada:
Biashara hii inahitaji mtaji mkubwa mfano unatakiwa uwe na angalau Tsh10,000,000/= ili uweze kuhudumia wateja wengi wa kuweka na kutoa.

Ila mwisho wa mwezi usishangae ukipata malipo ya Tsh500,000/= kwa mitandao yote ya simu(namaanisha ukijumlisha malipo yote utashangaa una laki tano tu).
UKISOMA HAPA, UNAWEZA KUKATA TAMAA.
Mafanikio ya Biashara yoyote inategemeana na uwepo wa vitu vingi:
Eneo
Mtaji
Wateja
Shughuli za kiuchumi za eneo husika
wewe mwenyewe mtoa huduma,
Maarifa ya huduma/bidhaa unazo uza.

unaweza kuweka mtaji wa milion hamsini na ukashindwa!
Kuna watu wanawekeza sana kwenye fedha wengine kwenye Akili.

Lilian Gerald, unaweza endela na hii biashara kwa mtaji wowote.Ukisha ingia kwenye biashara namna unavyo kabiliana na changamoto zake ndivyo unavyo piga hatua.​

KUNA SEHEMU NILIKWENDA KUTOA PESA, WAKALA HANA KIASI KILE ILA ANAKUSANYA KWA FANYABIASHARA WALIO MZUNGUKA JION ANAWARUDISHIA.
 
Jamii forum hii ukiwa mjinga utaamini kila mtu ni tajiri na anafanya biashara kubwakubwa sana, angalia michango ya watu humu ndani wanaiponda hii biashara kuwa ni kichaa wakati mimi nawaona wengi tu wanaishi vizuri sana na wanasaidia watu kwao kwahii biashara ya uwakala.
 
Jamii forum hii ukiwa mjinga utaamini kila mtu ni tajiri na anafanya biashara kubwakubwa sana,,,,angalia michango ya watu humu ndani wanaiponda hii biashara kuwa ni kichaa wakati mimi nawaona wengi tu wanaishi vizuri sana na wanasaidia watu kwao kwahii biashara ya uwakala
Miamala Ina hela mno. Kuna jamaa mmoja alikuwa ndiye aliyefanya miamala mingi kwa mwakaa mzima. Waliitwa na bank ya nmb wakakaa wakapewa wanapewa maujuzi. Waliofanya vizuri wakapewa zawadi. Jamaa alikuwa anaingiza si chini 12M na yupo vijijini sema alikuwa na vituo vingi.

Ishu Ni skills katika mind wengine Wana mtaji wa pesa
 
Back
Top Bottom