Biashara ya uwakala wa simu na benki (M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, fahari huduma na NMB Wakala) unaweza kuanza kwa mtaji wa shilingi ngapi?

Hii biashara ni nzuri binafsi naifanya ila upande wa miamala ya simu imeshuka sana kulinganisha na zamani kikubwa kama una nafasi jitahidi upate Mabenki CRDB NMB na NBC Kwa kuanzia binafsi nauwezo wa kupata mpaka 1.9M Kwa mtaji chini ya 5m kikubwa tafuta eneo lenye watu kama vile sokoni kama upo DSM ukipata Kariakoo utafanya biashara
 
Nje ya mada:
Biashara ya kiboya sana.
Nimeweka laini zangu ndani baada ya kuona biashara ya hovyo.

Narudi ndani ya mada:
Biashara hii inahitaji mtaji mkubwa mfano unatakiwa uwe na angalau Tsh10,000,000/= ili uweze kuhudumia wateja wengi wa kuweka na kutoa.

Ila mwisho wa mwezi usishangae ukipata malipo ya Tsh500,000/= kwa mitandao yote ya simu(namaanisha ukijumlisha malipo yote utashangaa una laki tano tu).
Acha kukatisha watu Tamaa, watu tuna mitaji hata milioni 2 haifiki, ila tunaendesha familia zetu,Tunalipa kodi na mambo ya maendeleo tunafanya ila kama umemuweka mtu basi ujue unamtengenezea maisha mtu, hii biashara inatakiwa ukae mwenyewe au mkeo golini, hii biashara ina siri nzito kwenye mafanikio, kwa upande wangu kama nikiifanya mpaka mama samia akimaliza Muda wake wa vipindi viwili naamini nitakua na mtaji mkubwa wa kubadilisha biashara nyingine,kwa kifupi kama utakua na mtaji wa milioni 5 na ukiwa mjanja hakuna mtumishi wa serikali za mitaa atakae kufikia kwa kipato kwa mwezi hapa namaanisha, Walimu, mabwana shamba, wauguzi na watendaji.
 
Acha kukatisha watu Tamaa, watu tuna mitaji hata milioni 2 haifiki, ila tunaendesha familia zetu,Tunalipa kodi na mambo ya maendeleo tunafanya ila kama umemuweka mtu basi ujue unamtengenezea maisha mtu, hii biashara inatakiwa ukae mwenyewe au mkeo golini, hii biashara ina siri nzito kwenye mafanikio, kwa upande wangu kama nikiifanya mpaka mama samia akimaliza Muda wake wa vipindi viwili naamini nitakua na mtaji mkubwa wa kubadilisha biashara nyingine,kwa kifupi kama utakua na mtaji wa milioni 5 na ukiwa mjanja hakuna mtumishi wa serikali za mitaa atakae kufikia kwa kipato kwa mwezi hapa namaanisha, Walimu, mabwana shamba, wauguzi na watendaji
Nakubaliana na wewe.
 
Hata milion moja ya mtaji inatosha ila inategemeana na location
tafuta kwanza location nzuri, maana mim nilikua nafanya nilianza na 1.5m ila location ilikua nzur na kulikua na mzunguko mzur kwa mwezi ilikua napata kamishen kuanzia laki 8 mpaka 1m kwa lain tatu tu na mzunguko wenye pesa ni ule wa wateja wa kutoa kuanzia elfu 10 mpaka 50,ila nakushaur tafuta location nzuri kwanza dada ang
 
Mwaka gani mkuu?miaka unaenda mambo yanabadilika
 
Mkuu nimeielewa post yako, naomba image madini ni nini hasa siri za biashara hii?
 
Hivi hii biashara mtu anahifadhi wapi baada ya kufunga jioni?…nazungumzia swala la security hapa
 
Kuna Ticha anapiga hiyo ishu huku mtaani yuko njema sana
Jamii forum hii ukiwa mjinga utaamini kila mtu ni tajiri na anafanya biashara kubwakubwa sana,,,,angalia michango ya watu humu ndani wanaiponda hii biashara kuwa ni kichaa wakati mimi nawaona wengi tu wanaishi vizuri sana na wanasaidia watu kwao kwahii biashara ya uwakala
 
Mkuu mimi nilianza na mtaji wa laki 4 na arobaini tu lakin mwisho wa mwezi nilipata kamishen ya laki na 60, ninachoweza kukushauri ni kua mtaji inategemea nguvu yako unayo ngapi pia angalia location
 
We itakuwa
Nje ya mada:

Biashara ya kiboya sana. Nimeweka laini zangu ndani baada ya kuona biashara ya hovyo.

Narudi ndani ya mada:

Biashara hii inahitaji mtaji mkubwa mfano unatakiwa uwe na angalau Tsh10,000,000/= ili uweze kuhudumia wateja wengi wa kuweka na kutoa.

Ila mwisho wa mwezi usishangae ukipata malipo ya Tsh500,000/= kwa mitandao yote ya simu(namaanisha ukijumlisha malipo yote utashangaa una laki tano tu)
We itakuwa ulifungua biashara kama hiyo ya kumi sehemu zilikuwa tisa tayari
 
Acha kukatisha watu Tamaa, watu tuna mitaji hata milioni 2 haifiki, ila tunaendesha familia zetu,Tunalipa kodi na mambo ya maendeleo tunafanya ila kama umemuweka mtu basi ujue unamtengenezea maisha mtu, hii biashara inatakiwa ukae mwenyewe au mkeo golini, hii biashara ina siri nzito kwenye mafanikio, kwa upande wangu kama nikiifanya mpaka mama samia akimaliza Muda wake wa vipindi viwili naamini nitakua na mtaji mkubwa wa kubadilisha biashara nyingine,kwa kifupi kama utakua na mtaji wa milioni 5 na ukiwa mjanja hakuna mtumishi wa serikali za mitaa atakae kufikia kwa kipato kwa mwezi hapa namaanisha, Walimu, mabwana shamba, wauguzi na watendaji.
Baadhi yenu wezi mnaibia wateja, Kuna siku nilienda kwa wakala kutuma pesa nika mtajia namba akanitajia la mtu ninaye mtumia nikwambia ndiyo lenyewe akasema tayari kasha tuma,, Sasa kumbe haja tuma kesho yake jioni napigiwa simu mbona pesa huja tuma mimi nikasema nimesha tuma angalia vizuri yule ndugu yangu niliye mtumia kuangalia salio pesa hakuna iliyoingia kuangalia sms hakuna ikabidi apige simu tigo huduma kwa wateja waka mwambia hakuna pesa iliyo tumwa kwenye namba yko, ikabidi mimi niende kwa yule wakala kumwambia mbona ukutuma pesa yeye akajibu pesa katuma nikamwambia angalia vizuri kama pesa ulituma akasema meseji nineshafuta na kwanini uku piga simu kwa yule uliyekuwa unamtumia pesa kama kaipata, Mimi ikabidi niwapigie tigo nikawaeleza wakaniambia niwatajie jina la wakala na namba iliyo tumiwa pesa baada ya kuwatajia mtoa huduma wa roho akaniambia huyo wakala hajatuma pesa kwenye mambo hiyo na wala namba hiyo hakutumiwa pesa, Sasa yule wakala ikabidi ampigie bosi wake bosi alivyokuja akaanza kuniambia kwani nimekaa siku moja bila kuja kwako kosa ni langu mimi nikamwambia hapana ata ninge kaa mwezi hakuna shida kwasababu kumbukumbu zipo we angalia kumbukumbu yeye akajibu sms kafuta sasa nikamuona anapiga simu ana taja jina la wakala mkuu akaenda pembeni wakaongea sasa alivyo rudi akasema niende popote nikashtaki na kesi kama zangu wateja wanaendaga polisi, Mimi nikaenda polisi na yeye akaitwa polisi waka mwambia kama ulituma pesa lete ushahidi kwasababu kama sms umezifuta hakuna shida we piga huduma kwa wateja watakutumia kumbumbu hazifutiki baada ya kupewa muda jamaa akawa ana piga simu mara aende pendeni mwisho wa siku ikabidi polisi wamuweke ndani jamaa alivyo ona anataka kuwekwa mahabusu nashangaa ana mwambia mkuu wa kituo wayamalize aturudishie 6pesa zetu na kweli akanirudishia pesa yangu, kwaiyo Mawakala wengi ni wezi Watanzania wengi ni wajinga mawakala wanatuma uelewa mdogo wa wananchi kuwaibia, kuna rafiki yangu alienda kumtumia pesa mama kwa wakala akampa wakala elf 70 wakala alivyo tuma kumbe akatuma elf 7 jamaa kufika kwake mama yake ana mpigia simu mbona umenitumia elf 7 mwanangu'' jamaa ikabidi arudi kwa wakala bahati nzuri wakala hakuwa mbishi na akamuomba msama, Jamaa akajiuli je angekuwa ana safari alivyo kuwa ana tuma pesa inamaana angekuwa kasha tapeliwa.
 
Huyo wakala n mjinga sana.
 
Wakala anayemuibia mteja labda awe yule ambae hana ofisi maalum,

Na uyo siyo Wakala bali ni tapeli anayetumia kivuli cha Wakala kuwatapeli.

Mawakala ni waaminifu coz leo na kesho bado anahitaji urudi kwake,

Sometimes inaweza kutokea typing error au tuseme kutokuwa makini kama ya uyo jamaa aliyetuma 7k badala ya 70k ni bahati mbaya tu siyo kwamba Mwana alikusudia kutuma iyo.

By the way Mimi ni Wakala na namshukuru mambo yanaenda,
Mshikaji hapo juu kasema ukiwa mjanja utaona matunda, Ujanja alouzungumzia siyo Wizi kama unavosema wewe.
 
Baadhi yenu wezi mnaibia wateja, Kuna siku nilienda kwa wakala kutuma pesa nika mtajia namba akanitajia la mtu ninaye mtumia nikwambia ndiyo lenyewe akasema tayari kasha tuma,, Sasa kumbe haja tuma kesho yake jioni napigiwa simu mbona pesa huja tuma mimi nikasema nimesha tuma angalia vizuri yule ndugu yangu niliye mtumia kuangalia salio pesa hakuna iliyoingia kuangalia sms hakuna ikabidi apige simu tigo huduma kwa wateja waka mwambia hakuna pesa iliyo tumwa kwenye namba yko, ikabidi mimi niende kwa yule wakala kumwambia mbona ukutuma pesa yeye akajibu pesa katuma nikamwambia angalia vizuri kama pesa ulituma akasema meseji nineshafuta na kwanini uku piga simu kwa yule uliyekuwa unamtumia pesa kama kaipata, Mimi ikabidi niwapigie tigo nikawaeleza wakaniambia niwatajie jina la wakala na namba iliyo tumiwa pesa baada ya kuwatajia mtoa huduma wa roho akaniambia huyo wakala hajatuma pesa kwenye mambo hiyo na wala namba hiyo hakutumiwa pesa, Sasa yule wakala ikabidi ampigie bosi wake bosi alivyokuja akaanza kuniambia kwani nimekaa siku moja bila kuja kwako kosa ni langu mimi nikamwambia hapana ata ninge kaa mwezi hakuna shida kwasababu kumbukumbu zipo we angalia kumbukumbu yeye akajibu sms kafuta sasa nikamuona anapiga simu ana taja jina la wakala mkuu akaenda pembeni wakaongea sasa alivyo rudi akasema niende popote nikashtaki na kesi kama zangu wateja wanaendaga polisi, Mimi nikaenda polisi na yeye akaitwa polisi waka mwambia kama ulituma pesa lete ushahidi kwasababu kama sms umezifuta hakuna shida we piga huduma kwa wateja watakutumia kumbumbu hazifutiki baada ya kupewa muda jamaa akawa ana piga simu mara aende pendeni mwisho wa siku ikabidi polisi wamuweke ndani jamaa alivyo ona anataka kuwekwa mahabusu nashangaa ana mwambia mkuu wa kituo wayamalize aturudishie 6pesa zetu na kweli akanirudishia pesa yangu, kwaiyo Mawakala wengi ni wezi Watanzania wengi ni wajinga mawakala wanatuma uelewa mdogo wa wananchi kuwaibia, kuna rafiki yangu alienda kumtumia pesa mama kwa wakala akampa wakala elf 70 wakala alivyo tuma kumbe akatuma elf 7 jamaa kufika kwake mama yake ana mpigia simu mbona umenitumia elf 7 mwanangu'' jamaa ikabidi arudi kwa wakala bahati nzuri wakala hakuwa mbishi na akamuomba msama, Jamaa akajiuli je angekuwa ana safari alivyo kuwa ana tuma pesa inamaana angekuwa kasha tapeliwa.
Huyo sio wakala bali ni mhuni kama wahuni,hii kazi nimeifanya huu ni mwaka wa nne sasa, sijapata kashfa yoyote mbaya zaidi ya yale makosa ya kawaida labda mtu kakosea namba na jina alikua halijui na ikitokea hivyo napiga huduma kwa wateja na mwenyewe akisikia, kama hela haijatolwa naizuia baada ya Muda namrudishia, na ikitokea nimetuma hela kwa mteja na haijafika na message nimefuta au haijarudi, namwambia subiri jioni nikifunga hesabu nitajua tu,maana huwa najua hesabu zangu,,Kazi naiheshimu, nina Mke na watoto wawili, na nimepanga vyumba viwili na sebure mjini kwa kazi hii, nimenunua shamba na kiwanja kwa kazi hii, na naamini insha llah nitafanya mambo makubwa kwa kazi hii, ila tambua kazi hii inalipa sana uswahilini kuliko kwenye centre za mjini mchawi ni mtaji
 
Hii biashara naifanya na kuna formulae zake kikubwa ni mahusiano na majirani mawakala hii inasaidia kuazimana float na cash ukiifanya mwenyewe kwa ubinafsi hutoboi hata kama una 10m mfano binafsi nina mtaji hata milioni 5 haifiki ila nafanya miamala mingi sana hasa majirani zangu tunashirikiana sana ukitaka faida jitahidi upate mabenki
 
Back
Top Bottom