Baadhi yenu wezi mnaibia wateja, Kuna siku nilienda kwa wakala kutuma pesa nika mtajia namba akanitajia la mtu ninaye mtumia nikwambia ndiyo lenyewe akasema tayari kasha tuma,, Sasa kumbe haja tuma kesho yake jioni napigiwa simu mbona pesa huja tuma mimi nikasema nimesha tuma angalia vizuri yule ndugu yangu niliye mtumia kuangalia salio pesa hakuna iliyoingia kuangalia sms hakuna ikabidi apige simu tigo huduma kwa wateja waka mwambia hakuna pesa iliyo tumwa kwenye namba yko, ikabidi mimi niende kwa yule wakala kumwambia mbona ukutuma pesa yeye akajibu pesa katuma nikamwambia angalia vizuri kama pesa ulituma akasema meseji nineshafuta na kwanini uku piga simu kwa yule uliyekuwa unamtumia pesa kama kaipata, Mimi ikabidi niwapigie tigo nikawaeleza wakaniambia niwatajie jina la wakala na namba iliyo tumiwa pesa baada ya kuwatajia mtoa huduma wa roho akaniambia huyo wakala hajatuma pesa kwenye mambo hiyo na wala namba hiyo hakutumiwa pesa, Sasa yule wakala ikabidi ampigie bosi wake bosi alivyokuja akaanza kuniambia kwani nimekaa siku moja bila kuja kwako kosa ni langu mimi nikamwambia hapana ata ninge kaa mwezi hakuna shida kwasababu kumbukumbu zipo we angalia kumbukumbu yeye akajibu sms kafuta sasa nikamuona anapiga simu ana taja jina la wakala mkuu akaenda pembeni wakaongea sasa alivyo rudi akasema niende popote nikashtaki na kesi kama zangu wateja wanaendaga polisi, Mimi nikaenda polisi na yeye akaitwa polisi waka mwambia kama ulituma pesa lete ushahidi kwasababu kama sms umezifuta hakuna shida we piga huduma kwa wateja watakutumia kumbumbu hazifutiki baada ya kupewa muda jamaa akawa ana piga simu mara aende pendeni mwisho wa siku ikabidi polisi wamuweke ndani jamaa alivyo ona anataka kuwekwa mahabusu nashangaa ana mwambia mkuu wa kituo wayamalize aturudishie 6pesa zetu na kweli akanirudishia pesa yangu, kwaiyo Mawakala wengi ni wezi Watanzania wengi ni wajinga mawakala wanatuma uelewa mdogo wa wananchi kuwaibia, kuna rafiki yangu alienda kumtumia pesa mama kwa wakala akampa wakala elf 70 wakala alivyo tuma kumbe akatuma elf 7 jamaa kufika kwake mama yake ana mpigia simu mbona umenitumia elf 7 mwanangu'' jamaa ikabidi arudi kwa wakala bahati nzuri wakala hakuwa mbishi na akamuomba msama, Jamaa akajiuli je angekuwa ana safari alivyo kuwa ana tuma pesa inamaana angekuwa kasha tapeliwa.