Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo biashara mpendwa inahitaji umakini wa hali ya juu inautapeli wa aina nyingi mno
apitie nyuzi zilizopita zipo humu wameweka kila kituUtapeli upi?waweza msaidia ili afahamu aina hizo za utapeli na namna ya kuchukua tahadhari
Habari
Nataka kuanzisha biashara hii ya uwakala wa mitandao na bank:Mtaji 2.2 m
Naomba kuuliza biashara hii inalipa au hasara tupu?
Nilikuwa natamani biashara hii ya huduma za kifedha Ila upande wa risk hapana kwakweli unaweza kufa etiii [emoji26][emoji26][emoji26] wezi wakaniua na Ela yangu wakachukua [emoji24].
[emoji2][emoji2]Nilikuwa natamani biashara hii ya huduma za kifedha Ila upande wa risk hapana kwakweli unaweza kufa etiii [emoji26][emoji26][emoji26] wezi wakaniua na Ela yangu wakachukua [emoji24].
laki nne uliigawa vp kwny hizo lain msaad plzMkuu mimi nilianza na mtaji wa laki 4 na arobaini tu lakin mwisho wa mwezi nilipata kamishen ya laki na 60, ninachoweza kukushauri ni kua mtaji inategemea nguvu yako unayo ngapi pia angalia location
yani saa 10:00 jioni funga ofisiiiiAisee hapo kwenye wezi hadi mwili unasisimka, kwahiyo unakuwa umewawekea kwenye mpesa yao na bado na hizo hard wanazichukua tena[emoji848] pia nadhani hii biashara inabidi usichelewe sana kufunga jioni kiusalama tu.
Ukianza kazi kwa iyo pesa ndo utaelewa uigawe vipilaki nne uliigawa vp kwny hizo lain msaad plz
kwani wanaofanya biashara nyingine hawapigwi risasi?Hii biashara nilishasemaga ni ya watu wavivu kufikiri! Kuna mtu alininanga ila nilikuwa nishampa ukweli!
Its useles ku risk million 10 kwa mwezi mzima kwa returns za 1.5M ambayo ni makadirio ya juu sana unaweza pata chini ya hapo! Kuna kupigwa risasi na sahizi Magufuli hayupo maana ujambazi utakuwa nje nje! Kuna chumaulete pia! Its surely a risky bet
Risk ya muuza mtumba kupigwa risasi na mhudumu wa MPesa ipi kubwa?
Acha uwoga kijana 1.5ml kwa mwez sio ndogo na kumbuka ndan ya ofis waeza fanya na ishu nyingine tatizo la vijana wa leo mnataka mafanikio ya haraka hakuna iyoHii biashara nilishasemaga ni ya watu wavivu kufikiri! Kuna mtu alininanga ila nilikuwa nishampa ukweli!
Its useles ku risk million 10 kwa mwezi mzima kwa returns za 1.5M ambayo ni makadirio ya juu sana unaweza pata chini ya hapo! Kuna kupigwa risasi na sahizi Magufuli hayupo maana ujambazi utakuwa nje nje! Kuna chumaulete pia! Its surely a risky bet
Kigezo apo mzunguko uwepo hata mtaji mdogo unakimbizaInategemea na kias Chako Cha mtaji pamoja na mzunguko wa wateja wako siyo utegemea kupata laki 3 na mtaji wako Ni laki 3 au nne hapo anayepata hyo laki 3 ujue amewekeza Zaid ya milion 2 Hadi 3
Uhai unaununua wapi mwingine? Biashara ya M-Pesa labda uweke mtu ili wamuue yeye au kumpora hela.Hakuna biashara isiyo na risk
Wengi wanafanya biashara kimazoea tu.Kwann vibanda kibao vya mawakala wakati faida ndogo sana?
ukiogopa kupigwa risasi mjini basi hutofanya biashara yoyote muuza mtumba nae anaweza kupigwa kisu cha tumbo kisa lak na arobaini za mauzo na maselaRisk ya muuza mtumba kupigwa risasi na mhudumu wa MPesa ipi kubwa?
Sawa blazaukiogopa kupigwa risasi mjini basi hutofanya biashara yoyote muuza mtumba nae anaweza kupigwa kisu cha tumbo kisa lak na arobaini za mauzo na masela
sasa kama nimuoga bora ubaki shamba ulime tumbakuu
Sent using Jamii Forums mobile app