Biashara ya Vanilla, Tshs 850,000 kwa kilo; Kuna nini nyuma ya tangazo hili?

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
13,417
Reaction score
23,310
Nisiwachoshe bure nitaandika kifupi sana. Kuna tangazo limepata airtime kubwa kwenye ITV kuhusu Vanilla International inayo promote kilimo cha vanilla wilayani Njombe. Bottom line ni bei ya soko ya kilo moja kuwa ni Tsh 850,000.

Wasiwasi wangu:
1. Kama faida ni kubwa hivyo kwa nini wasilime wenyewe kwa vile wanajuwa soko lilipo?

2. Ile methali ya kizuri chajiuza, na kibaya chajitembeza, je ina apply hapa?

3. Kuna watu wanalima vanilla Mkoa wa Kagera wanadai kuwa hata mteja wa kumuuzia kilo moja kwa Tsh 50,000 hawampati.

4. Kwa nini wanatangaza "faida" tu mfano bei nzuri na hawatangazi "changamoto" zinazoendana na biashara hii?

5. Naiona kama DESI watu wanaweza kupigwa hela hapa.

Wajuzi tufahamisheni
 
Nawasikilizaga weee nabaki nacheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani
1. Wakupe shamba
2. Pembejeo
3. Mwangalizi/kibarua wakukufanyia kazi kama upo mbali
Halafu wewe uvune faida ukiwa Dar??

Nanusa harufu ya kupigwa hapa.

Km wanapemnejeo, mashamba, vibarua, madawa na mbegu kwanini wasifanye wao.

Hii itakua kama Mr. Kuku
 
Yani acha kunusa tu, umeshaona kabisa[emoji2][emoji2]

Watu watapigwa kipigo cha dogi . Tusubiri tu wakianza malaliko kwa viongozi .

Serikali sijui kwa nn inakaaga kimya kwenye hizi issue.
 
Nawasikilizaga weee nabaki nacheka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani
1. Wakupe shamba
2. Pembejeo
3. Mwangalizi/kibarua wakukufanyia kazi kama upo mbali
Halafu wewe uvune faida ukiwa Dar??

Nanusa harufu ya kupigwa hapa.

Km wanapemnejeo, mashamba, vibarua, madawa na mbegu kwanini wasifanye wao.

Hii itakua kama Mr. Kuku
Halafu itv wanatangazo Lao kila siku
 
Nisiwachoshe bure nitaandika kifupi sana. Kuna tangazo limepata airtime kubwa kwenye ITV kuhusu Vanilla International inayo promote kilimo cha vanilla wilayani Njombe. Bottom line ni bei ya soko ya kilo moja kuwa ni Tsh 850,000.

Wasiwasi wangu:
1. Kama faida ni kubwa hivyo kwa nini wasilime wenyewe kwa vile wanajuwa soko lilipo?

2. Ile methali ya kizuri chajiuza, na kibaya chajitembeza, je ina apply hapa?

3. Kuna watu wanalima vanilla Mkoa wa Kagera wanadai kuwa hata mteja wa kumuuzia kilo moja kwa Tsh 50,000 hawampati.

4. Kwa nini wanatangaza "faida" tu mfano bei nzuri na hawatangazi "changamoto" zinazoendana na biashara hii?

5. Naiona kama DESI watu wanaweza kupigwa hela hapa.

Wajuzi tufahamisheni
Wale jamaa wanastusha
Nguvu wanayotumia kuitangaza ni kubwa mno,, hapa bila shaka watu watalia
 
Back
Top Bottom