Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali; Hilo "soko la Dunia" lipo wapi? Unalifahamu? Je Hawa wakulima wana Certification za kuuza kimataifa mfano Halal, organic e.t.c???Kwa mkulima atakae uza direct toka shamba sidhani kama bei itafika huko ila kwa mkulima atakaye weza kui process, yaani kuiongezea thamani soko la dunia sasa linafika 500$ kwa kilo ambapo wanasema inabei kuliko kilo ya silver....
Kufahamu vizuri naomba muangalie clip hii youtube
Hata yule wa Ruvuma mnunuaji mahindi kwa bei juu walienda na akamsifia ila haukupita muda tukasikia mayowe na jamaa kapoteaJuzi Kamati ya Bunge na Mbunge wa Njombe wametembelea mradi na wameusifia
Bei ya Vanilla iliyokaushwa sio hiyo ni zaidi ya Milioni moja, wakati Vanilla mbichi ni Laki moja kwa kilo.Mimi nimefika hadi kwenye hicho Kijiji Cha Vanilla.Ishu ilivyo ni kwamba wale jamaa wao wanadai kuwa Wana Soko la kuuzia Vanilla lkn hawana Uwezo wa kifedha kuzalisha vanilla ya kukidhi mahitaji ya Soko.Km una mtaji nakushauri nenda kachukue ploti kule utakuja kunishukuru.Mimi nimeenda nikawahoji maswali yote niliyokuwa nayo akilini mwangu wakanijibu bila shida.Kule kuna plot za Akina Joyce Mhaville mkurugenzi wa ITV na Radio one,Prof.Juma Athuman Kapuya,na wengineo.Nisiwachoshe bure nitaandika kifupi sana. Kuna tangazo limepata airtime kubwa kwenye ITV kuhusu Vanilla International inayo promote kilimo cha vanilla wilayani Njombe. Bottom line ni bei ya soko ya kilo moja kuwa ni Tsh 850,000.
Wasiwasi wangu:
1. Kama faida ni kubwa hivyo kwa nini wasilime wenyewe kwa vile wanajuwa soko lilipo?
2. Ile methali ya kizuri chajiuza, na kibaya chajitembeza, je ina apply hapa?
3. Kuna watu wanalima vanilla Mkoa wa Kagera wanadai kuwa hata mteja wa kumuuzia kilo moja kwa Tsh 50,000 hawampati.
4. Kwa nini wanatangaza "faida" tu mfano bei nzuri na hawatangazi "changamoto" zinazoendana na biashara hii?
5. Naiona kama DESI watu wanaweza kupigwa hela hapa.
Wajuzi tufahamisheni
Bei wanawanunulia kwa Shilingi ngapi??.Waende Kagera-Bukoba watu wanalima Vanilla sana....kuweni makini
Mkuu we wekeza tu.Bei ya Vanilla iliyokaushwa sio hiyo ni zaidi ya Milioni moja, wakati Vanilla mbichi ni Laki moja kwa kilo.Mimi nimefika hadi kwenye hicho Kijiji Cha Vanilla.Ishu ilivyo ni kwamba wale jamaa wao wanadai kuwa Wana Soko la kuuzia Vanilla lkn hawana Uwezo wa kifedha kuzalisha vanilla ya kukidhi mahitaji ya Soko.Km una mtaji nakushauri nenda kachukue ploti kule utakuja kunishukuru.Mimi nimeenda nikawahoji maswali yote niliyokuwa nayo akilini mwangu wakanijibu bila shida.Kule kuna plot za Akina Joyce Mhaville mkurugenzi wa ITV na Radio one,Prof.Juma Athuman Kapuya,na wengineo.
Yule si ni Mnyiha wa Mbozi?.Afu huyu jamaa wa vanilla (Simon Mkondya) anavyoongea ni kama sio mtanzania hivi
Halafu anakuja mhuni tu anasema eti ni utapeli.Juzi Kamati ya Bunge na Mbunge wa Njombe wametembelea mradi na wameusifia
Huyo ni muongoKuna mpaka kuifunika na mablanketi, hiyo sasa adhabu
Ndio maana yule Jamaa wa Vanilla village anasimamia mwenyewe uzalishaji ili kuhakikisha kuwa anazalisha kadiri ya mahitaji ya Soko.Swali; Hilo "soko la Dunia" lipo wapi? Unalifahamu? Je Hawa wakulima wana Certification za kuuza kimataifa mfano Halal, organic e.t.c???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Kwa hiyo wewe hutaki??.Mkuu we wekeza tu.
Kila la kheri
Uwekezaji huu kama wa Sungura, Mr Kuku , Jatu &Co nilishaukataa kabisaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Kwa hiyo wewe hutaki??.
Vipi Bei yako iko je?Mkuu,
Mimi nalima Vanilla, kinachonisikitisha huyu jamaa sio Mkweli hata kidogo,,anawadanganya watu.soon watu watalia...itoshe tu kusema kilimo sio rahisi kama watu wanavyoaminishwa hata kidogo...na kama vanilla inafaida hivyo basi wakina MO na matajiri wengine tayari hiyo fursa wangekuwa wameshaiona na kukimbilia
Simon Mkondya na kampuni yake wanasema bei ni Tshs 850,000.Wabongo muwe mnafanya tafiti mpate taarifa - InformationView attachment 1968004
[emoji23] twende race wewe.Mkuu we wekeza tu.
Kila la kheri
Ndugu tuletee mtu ambaye ameuza akapata hiyo Tsh 850,000 kwa kilo atupe ushuhudaBei ya Vanilla iliyokaushwa sio hiyo ni zaidi ya Milioni moja, wakati Vanilla mbichi ni Laki moja kwa kilo.Mimi nimefika hadi kwenye hicho Kijiji Cha Vanilla.Ishu ilivyo ni kwamba wale jamaa wao wanadai kuwa Wana Soko la kuuzia Vanilla lkn hawana Uwezo wa kifedha kuzalisha vanilla ya kukidhi mahitaji ya Soko.Km una mtaji nakushauri nenda kachukue ploti kule utakuja kunishukuru.Mimi nimeenda nikawahoji maswali yote niliyokuwa nayo akilini mwangu wakanijibu bila shida.Kule kuna plot za Akina Joyce Mhaville mkurugenzi wa ITV na Radio one,Prof.Juma Athuman Kapuya,na wengineo.
Warren buffet aliwahi kusema Be Scary when Others are Greedy and be Greedy when others are scaryHehehe
When the deal is too good think twice.
Umesahau ya songea mkuu yule jamaa aliye nunua mahind kwa Bei kubwa na kuuza kwa Bei ndogoHalafu anakuja mhuni tu anasema eti ni utapeli.