Market ya leo ni tofauti na market three years down the line..., ni unpredictable, kama nina uwezo wa kupata leo product kwanini nisiuze iliyopo huku naendelea kutengeneza yangu siku nikipata yangu napunguza costs za ununuzi.., kuhusu organic na quality sikatazwi kununua mchichi na kuianika au ku-inspect the products..
Sikatai chochote kile ila kama wenye samaki wanao uwezo wa kunitafutia soko kwa bei mara tatu nikivuna sioni kwanini wakatae kununua kwa bei ya robo tatu leo kama soko lipo...
Mkuu hapo kuna biashara za aina tatu with zero risk involved hata mimi nikipata watu tafanya hio biashara ambayo soko ni guaranteed...
Moja kuuza ujenzi wa vizimba.
Mbili Kuuza mbegu ya samaki wangu
Tatu nina uhakika takuwa pia nina soko la chakula changu cha samaki kwa hao wateja
RISK Involved kwangu ni Zero..., sababu ukivuna samaki unakaniuzia ninatafuta soko..., wakifa hio ni hasara yako, Yaani hapa muwekezaji ameondoa risk factor to zero (hata risk yoyote); Tena hapo watakwambia tutanunua quality fulani na kilo kadhaa amabazo inabidi uzifikishe, kumbuka kuna risk badala ya kupata kilo 5000 huenda usipate baada ya magonjwa kuondoa samaki wako wote.., au wengine wakafubaa na wasikue required weight hata kwa miaka mitatu
Tofauti na hawa wanaokulimia, wanapalilia na kufanya kila kitu (risk ipo upande wao)