Ndebile
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 7,745
- 11,267
Mkurugenzi jana nimeona anatangaza fursa nyingine.....hahahaha! Vitunguu swaumu, eti soko anatafuta yeye wewe kazi yako ni kukodi shamba, pembejeo, mbegu, nk ni juu yake, picha anaweka za India kwa msaada wa google ..ila mara hii naona uso wake umetakata Sana, kanawiri!Huyo mkurugenzi sura yake na pozi wakati akitangaza lazima upate uwalakini
Watanzania kuna kitu tumewekewa vichwani mwetu na kinasambaa kupitia kizazi!