Biashara ya viatu inaweza kukutajirisha

hivi viatu ni moto una haki ya kulala hata na laki kwa siku.
 
Eneo ingekua bomba zaidi
Kuhusu mtaji naweza nikaanza na kiasi gani cha chini kbsa??

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri kuhusu eneo unapaswa utafute eneo ambalo linapita watu wengi .

Kama vile stand kwasababu maeneo ya stand ndani mengi yamejaa wewe weka goli lako barabara ya kuelekea stand au sokoni ni rahisi sana kupata ayo maeneo kuliko sokoni ndani au stand ndani ukiweka vitu vikali utashanga mwenyewe watu wanaishia kwako tu

Mtaji

Kuhusu swala la mtaji ni wewe mwenyewe na uwezo wako. Ila kama ata unamtaji wa laki mbili usiweke laki mbili yote weka ata laki ikizidi sana laki na nusu kusoma kwanza biashara usiweke pesa yote

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…