Biashara ya viatu inaweza kukutajirisha

Biashara ya viatu inaweza kukutajirisha

Naweza kupata mawasiliano nafanya biashara ya mtumba 0783218611 nipo Kanda ya ziwan.
 
Mkuu naomba unichekíe kama utabahatiba kuona msg yang,no yangu ni 0765743113
 
Viatu vinalipa kweli kama una mtaj hata wa m1 baada ya mwaka unaweza kuwa na mtaj mkubwa sana .me nina biashara nyigine lkn baada ya vyuma kukaza. niliweka kimeza nje ya frem nikaanza na mtaji wa elf 70 nafata moshi naleta arusha vya mtumba. kuna kiatu unanunua elfu 5 kikiwa kichafu ukiosha unauza elf 20, kwa sasa mpaka natamani nihachie frem nibaki nje maana sikosi faida elfu 20 mpaka 30 kwa siku.View attachment 1583207View attachment 1583208View attachment 1583210View attachment 1583211View attachment 1583214View attachment 1583216
Hongera mkuu,ila usiachie fremu,serikali zetu zinageukageuka,utaambiwa marfuku kupanga vitu chini!
 
Back
Top Bottom