Biashara ya viatu inaweza kukutajirisha

Biashara ya viatu inaweza kukutajirisha

Mlioahidi kuanza biashara ya viatu tunaomba mrejesho.
 
Naomba aliyefanya hii biashara dodoma mjini anipe uzoefu wake nataka kufungua hapo dom
 
Nipo mwanza najua mwanza tu ila kwa dar uwa nasikia ni soko la karume ndipo wanachana sina uwakika vizuri
Mkuu mimi nipo mwanza pia, natafuta mtu wa kuniuzia viatu ni mpenzi mkubwa wa viatu kaka kama itakupendeza ni PM baadhi baadhi pengine naweza kukuungisha hasa hasa vya ofisini / official

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom