kokudo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 2,571
- 1,760
Asanteukinunua kwa machinga nje ni bora
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asanteukinunua kwa machinga nje ni bora
Check PM yakoBro naomba nisaidie namba ya simu au ni text whatsapp namba 0755923222
Meza kariakoo wanakodisha bei ganBaada ya kupitia huu uzi, hatimaye nimeanza rasmi biashara ya viatu kariakoo mtaa wa Kongo.
Nimepata na meza ya mjasiriamali.
Nimeanza na mtaji wa 3mil. Lengo ni kufikia mtaji wa 5mil.
Unachukulia wap viatu kwa jumla na bei zipoje kama hutojal naweza pata mawasiliano yako?Mapambano yanaendelea.
Wale wa mikoani mnaweza kuagiza kwa bei nafuu kabisa
Karibuni sanaView attachment 1722342
Mkuu kama upo na moyo wa utayari wa kufanya biashara karibu mwanza bossNimetamani kuanza na viatu vya kike vya mtumba naomba connection Nipo Shinyanga mkuu kuja Rock City ni Jirani.
Pamoja sanaHongera sana boss nafatilia kwa umakini maswali na majibu yako
Unamaanisha nihamie mwanza auMkuu kama upo na moyo wa utayari wa kufanya biashara karibu mwanza boss
HapanaUnamaanisha nihamie mwanza au
Una viatu vikali.Check PM yako
Meza kariakoo wanakodisha bei gan
150,000
Una moyo wa upendo sana kijanaHapana
Namanisha si upo shinyanga unàweza kuja mwanza kuchukuwa mzigo ata kuamia pia kwasababu ni moja ya mkoa wenye fursa nyingi kwa wajasirimali
Mkuu mimi nipo mwanza pia, natafuta mtu wa kuniuzia viatu ni mpenzi mkubwa wa viatu kaka kama itakupendeza ni PM baadhi baadhi pengine naweza kukuungisha hasa hasa vya ofisini / officialNipo mwanza najua mwanza tu ila kwa dar uwa nasikia ni soko la karume ndipo wanachana sina uwakika vizuri
Chief nahitaji chimbo la viatu na mashati ya mtumba pale Lango kama itakupendeza piaUkiitaji ushauri kuhusu biashara ya viatu naomba uandike hapa na siyo pm ili majibu yanavyotolewa wafaidike watu wote