Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
Soko lipo vizuri, kama unavyoona watu kila siku wanazidi kupenda chips na matumizi ya viazi yanaongezeka cha muhimu ni uchaguzi mzuri wa viaz kule shamban, hakikisha unachagua kiaz kizuri na kiwe kikubwa soko zuri ni buguruni na mabibo ilala siyo wazuri sana
Kuhusu usafiri kama unachukua mzigo njombe kulee kuna shida kidogo ya usafiri lakini tofauti na mbeya usafiri hausumbui sana maana semi tyler nyinyi zinatoka zambia kuja dar zingine zinakuwa tupu soo deal kaa izo hawawez kuacha
Asante sana mkuu, nimekuelewa vyema ngoja nijikisanye ili niongeze mtaji japo nianze mdogo mdogo. Vip wapi ni bora zaidi kati ya mbeya na njombe kwa ubora wa viazi, bei na accessibility ya usafiri.