Biashara ya viazi mviringo

Biashara ya viazi mviringo

mm ni mkulima wa viaz huku mbeya kwa hyo lak 8 ni ndogo sana mkuu..embu fiki gunia la kiaz unanua kwa mkulima elf 50..gar inapakia gunia 100 kwa hyo hapo kwa hyo hela unanua gunia kama 16 hv..bado ujatoa hela ya kushonea..advance ya mwenye gar...karibu mkuu mbeya tunalima sana kiaz
Naomba mawasiliano yako
 
Apana mkuu usafiri hujaweka apo mara nyingi huwa wanaitaji advance siyo zaidi ya lak 3 kwenye usafiri, izoo gharama zingine za usafiri unalipa baada yaa mauzo kufanya ata dalali analipwa baada yaa mzigo kuuzwa,
Bei huwa zina range kati yaa 26,000-32,000 kutegemeana na wapi na aina ya kiazi iyo bei ni guniaa ad liko ndani yaa gari, au kwa maana nyingine umelipa wapakiaji,ushuru, na gunia na kambaa
Naomba mawasiliano yako
 
Mkuu ulifanikiwa katika hili? na je bado unaendelea.... Naomba msaada wako kwani na mimi nataka kufanya hii kitu. Asante
 
mm ni mkulima wa viaz huku mbeya kwa hyo lak 8 ni ndogo sana mkuu..embu fiki gunia la kiaz unanua kwa mkulima elf 50..gar inapakia gunia 100 kwa hyo hapo kwa hyo hela unanua gunia kama 16 hv..bado ujatoa hela ya kushonea..advance ya mwenye gar...karibu mkuu mbeya tunalima sana kiaz
PM namba yako pls
 
Ni pm namba yako
 
Upo mbeya sehem gan
...
.nataka kuanza kulima kiaz
 
Wakuu habari zenu,

Mimi ni kijana mwenye nia ya kufanya biashara ya viazi mviringo lakini sina uzoefu kabisa wala sijui nianze vipi.

Naombeni ushirikiano kama wewe ni mfanyabiashara hii naomba msaada wako mimi naishi Mbeya Forest ya zamani.
 
Biashara Hiyo ni nzuri sana sehemu vinakopatikana viazi sana ni Mbeya, Njombe, Lushoto. Na masoko ni maeneo ya Dar, Dodoma, Mwanza, Kahama, Tabora , Lindi, Mtwara
 
Back
Top Bottom