Biashara ya Vifaa vya Ujenzi (Hardware Store): Ushauri wa Mtaji, Uendeshaji, Changamoto na Faida

faida ya cement haizidi 1,000
ya chokaa haizidi 1,500.
changamoto ni KUKOPESHA na mteja kukimbia madeni.
Mali bila daftari upotea bila habari.
SILAHA KUBWA KATIKA BIASHARA YAKO NI KUWAPENDA WATEJA WAKO.NA KUWAHESHIMU WACHANGAMKIE WAKIJA.
USINUNEEE.HATA AKIULIZA KITU NA ASIPO NUNUA.USIKASIRIKE.MWAMBIE KARIBU TENA.
DUKA LAKO LITAPENDWA KULIKO MAELEZO.
 
Wanajopo habari za mda huu?

Kama kichwa cha habari kilivyo,nimekuja kwenu naomba wenye utaalam na hii biashara ya vifaa vya ujenzi mnisaidie kujua yafuatayo:-

-Wapi naweza kupata nondo aina zote kwa jumla na inacost kias gani pamoja na usafiri?

-Wapi nitapata cement kwa jumla?

Wapi nitapata bidhaa nyingine muhimu na nizipi hizo?

Maelezo muhimu kuhusu biashara hii....??

Ahsanteni
 
Upo wapi?:
Kama upo Dar.
Cement utapata wazo Twiga cement. GSM wao wana Kilimanjaro Cement.
Nondo : Nenda Kamaka Mandela Road.
Nondo : Sita kwa hiten Shah ,Kamal steel au AIM steel. au kwa yuri Mrusi.
Zingine nenda Changombe ,Kariakoo au kwa JK sukita.
Bidhaa za nyumbani nenda Kichangani.
 
Ahsante sana mkuu. Mm nipo Dar
 
Mod naomba huu uzi muunganishe na ile mwingine...nilikosea nikawa nimeupload mara mbili..Nawasilishaa
 
Sasa tufanye hiviiiii.......ni vitu gani ambavyo unawezafanyia biashara kutoka dubai na vinalipa sana kwa sasa.... tuvi list hapa ili tupate picha pana zaidi
 
Hivi cement huwa hazina expire date(haziharibiki)? Kama zinaharibika,basi heri mtu uwe wakala ili zikiharibika wabebe mizigo yao other wise hasara atabeba muuzaji
 
hii kiboko aisee yaani mfuko mmoja wa saruji utoe tofali 55 hadi 60 !!![emoji2][emoji2]
hii nyumba ikinyeshewa na mvua inamong'onyoka aisee...kwavile ni nyumba ya mchanga hii
Huenda ni perving block mkuu usicheke tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…