Biashara ya Vifaa vya Ujenzi (Hardware Store): Ushauri wa Mtaji, Uendeshaji, Changamoto na Faida

Biashara ya Vifaa vya Ujenzi (Hardware Store): Ushauri wa Mtaji, Uendeshaji, Changamoto na Faida

faida ya cement haizidi 1,000
ya chokaa haizidi 1,500.
changamoto ni KUKOPESHA na mteja kukimbia madeni.
Mali bila daftari upotea bila habari.
SILAHA KUBWA KATIKA BIASHARA YAKO NI KUWAPENDA WATEJA WAKO.NA KUWAHESHIMU WACHANGAMKIE WAKIJA.
USINUNEEE.HATA AKIULIZA KITU NA ASIPO NUNUA.USIKASIRIKE.MWAMBIE KARIBU TENA.
DUKA LAKO LITAPENDWA KULIKO MAELEZO.
 
Wanajopo habari za mda huu?

Kama kichwa cha habari kilivyo,nimekuja kwenu naomba wenye utaalam na hii biashara ya vifaa vya ujenzi mnisaidie kujua yafuatayo:-

-Wapi naweza kupata nondo aina zote kwa jumla na inacost kias gani pamoja na usafiri?

-Wapi nitapata cement kwa jumla?

Wapi nitapata bidhaa nyingine muhimu na nizipi hizo?

Maelezo muhimu kuhusu biashara hii....??

Ahsanteni
 
Upo wapi?:
Kama upo Dar.
Cement utapata wazo Twiga cement. GSM wao wana Kilimanjaro Cement.
Nondo : Nenda Kamaka Mandela Road.
Nondo : Sita kwa hiten Shah ,Kamal steel au AIM steel. au kwa yuri Mrusi.
Zingine nenda Changombe ,Kariakoo au kwa JK sukita.
Bidhaa za nyumbani nenda Kichangani.
 
Upo wapi?:
Kama upo Dar.
Cement utapata wazo Twiga cement. GSM wao wana Kilimanjaro Cement.
Nondo : Nenda Kamaka Mandela Road.
Nondo : Sita kwa hiten Shah ,Kamal steel au AIM steel. au kwa yuri Mrusi.
Zingine nenda Changombe ,Kariakoo au kwa JK sukita.
Bidhaa za nyumbani nenda Kichangani.
Ahsante sana mkuu. Mm nipo Dar
 
Mod naomba huu uzi muunganishe na ile mwingine...nilikosea nikawa nimeupload mara mbili..Nawasilishaa
 
Sasa tufanye hiviiiii.......ni vitu gani ambavyo unawezafanyia biashara kutoka dubai na vinalipa sana kwa sasa.... tuvi list hapa ili tupate picha pana zaidi
 
Usimwogopeshe bhana!

Iko hivi;

Kuna uwakala mkubwa na uwakala mdogo.

Kama unataka kuwa wakala mkubwa unatakuwa ume na kampuni yenye usajili wa kisheria(hii inafahamika, Brela, TIN, Leseni kutoka manispaa)

Unatakiwa uwe na magari nakubwa ya kubebea. Pia uwe na vituo vya kusambazia si chini ya 60.

Ukiwa na vigezo hivyo unaenda moja kwa moja kiwandani (Nazungumzia wazo-Twiga cement wengine sijui vigezo) ukifika ni faster tu hata uchekeweshwi.

Wakala mdogo

Wtanunua kwa mawakala wakubwa. Minimum unanua tani moja ambapo kama bei hazijabadikija ni Tshs10500/ kwa mfuko.
Hivi cement huwa hazina expire date(haziharibiki)? Kama zinaharibika,basi heri mtu uwe wakala ili zikiharibika wabebe mizigo yao other wise hasara atabeba muuzaji
 
hii kiboko aisee yaani mfuko mmoja wa saruji utoe tofali 55 hadi 60 !!![emoji2][emoji2]
hii nyumba ikinyeshewa na mvua inamong'onyoka aisee...kwavile ni nyumba ya mchanga hii
Huenda ni perving block mkuu usicheke tu
 
Back
Top Bottom