Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe ndo kuku kabisa na hakuna unacho jua, na ndo wale wl wanao apply CIVICS kwenye maswala ya Uchumi wa Nchi, kwani wao waliaanzia wapi? au unazani na nwao walianza kwa kushusha bei? China yenyewe bidhaa zake zamani zilkuwa ni ghali tu kama za Ulaya, tatizo unatumia Masaburi tu,
Ishu kama Milando au thamani za Ndani, Mbona za Kitanzania ni Bora kabisa kimataifa, ulisha wahi ona Thamani zinazo tengenezwa na Jeshi la Magereza? Ni bora kimataifa, Ila wabongo bora tukanunua zile za maghumashi kutoka Dubai,
Ni kweli mkuu, ila sio lazima uwe mfanya biashara tu hata kama ni ujenzi pia unaweza tumia njia hiyohiyo,
Kuna watu siku hizi wanajenga boma, halafu vifaa vyake vyote wanaenda chukua china, kuna mshkaji alikuwa na 15M akadumbukia zake china kununua vifaa vyake! huwezi amini nyumba yake ilivo manake alinunua milango,madirisha,rangi mpaka fenicha za ndani. jamaa anasema nyumba yake haifiki 40M ila ni nooma yaaki, akiiuza hata 200M unachukua.
Ila kama unajenga nyumba sio ya biashara..hizi nyumba kwa mfano za vyoo vinne tu....kwenda dubai unakuwa unasave lakini sio kivile sna..labda uwe na mwenzako...mka share container moja mkaweka vitu vyote..kwani bandarini container liwe full or half utalipa full.
Ukiangalia na time consumed ya wewe kwenda kule etc....though utapata vitu unique bado naamini inalipa sana hii kwa watu wenye mashule...Hotel kwa wao wanahitaji vitu vingi kwa wakati mmoja.
Hata nyumba ya kawaida inafaa sana, coz unanunua kila kitu, vifaa vya umeme vyote (kuanzia wiring mpaka vifaa venyewe) mambo ya jikoni, toilets, ukija tiles, milango,madirisha,rangi za aina zote,mapazia,vitanda,meza za jikoni sebuleni mpaka dining! masofa TV,Fredge na vitu vingine!
Kwa kifupi vitu vya 15M hapa bongo utapata kwa 40 mpaka 60M,
Kwa hiyo nyumba inakuwa na finishing ya ukweli. yaani utadhani ya bakhresa flani hivi
Mkuu hivyo vitu vyote unaweza kupata kwa 15 - 20 M? Mbona kama ni kidogo sana?
Mkuu malngo mmoja, wa chuma toka china ni 300,000 - 400,000/= let say una milango 6, dirisha moja kwa laki 2 mpaka 3 let say una madirisha 10, tiles za chumba kimoja kwa laki 5, let say una vyumba 6. hujaingia chooni, rangi na uje kwenye vitanda (0.5M @),makochi (2M),fridge (1.5M) TV (1.5M) kwenye umeme na maji bado!
Kwa kifupi finishing ya kawaida ni arround 20M, inaweza ikazidi kutokana na mahitaji ya mtu binafsi! sasa chukua hiyo 20M dumbukia zako china uende ukalete first class product uone nyumba yako itakuwaje!
Wenye hela anachukua na fundi kabia, anaenda shoping akirudi baada ya 1month anahamia kwake!
Mkuu hivyo vitu vyote unaweza kupata kwa 15 - 20 M? Mbona kama ni kidogo sana?
Hivi Tanzania sisi ni lini tuta Export? Ni sawa kuimport kutoka huko kwa sababu ya Bei yake ila tutambue kwamba tua kuza uchumi wa Dubai na si Tanzania ni kama ilivyo China, Huwa najiuliza kama hadi Milango tunaagiza nje ni huzuni sana wakati tuna mbao na hata Milango inayo tengenezwa na Wabongo ni Bora zaidi ya hiyo ya Kutoka Nje,
Mimi nazani imefika wakati tupende vya kwetu hata kama ni vibaya kiasi gani, China walivyo anza Kujitegemea walikuwa wakitengeneza Bidhaa mbaya na walikuwa wakichekwa sana na Nchi za Ulaya, Ila jamaa hawakukata Tamaa, kuna ile Tiper yao ambayo Ulaya waliidhihaki sana,
Ila leo hii zile Nchi zote zilizo kuwa zinaicheka China ziko mahututi na imebakia Moja tu nayo ni Ujerumani ambayo nayo itapitwa muda si mrefu,

Ni kweli mkuu umenena vyema.Lakini sisi tutajaribu vipi hadi tufikie hatua walizofikia wenzetu?Kwani tunasheria zinatulazimisha turuke stage walizopitia wengine bali zinatutaka tufanye kila kitu kwa std ya Marekani ingawa wao pia hadi kufika walipo walianza kwa vitu vyenye viwango duni!Mie kwa ujuzi niliopata chuo nina uwezo wa kutengeza product nzuri kabisa kwa maana ya ubora kwa kutumia rasilimali zinazopatikana katika mazingira yangu lakini mamlaka inayohusika imeweka vikwazo lukuki nami nimeamua kuwa mchuuzi tu!Naumia sana ila ni kilio cha samaki!Hivi Tanzania sisi ni lini tuta Export? Ni sawa kuimport kutoka huko kwa sababu ya Bei yake ila tutambue kwamba tua kuza uchumi wa Dubai na si Tanzania ni kama ilivyo China, Huwa najiuliza kama hadi Milango tunaagiza nje ni huzuni sana wakati tuna mbao na hata Milango inayo tengenezwa na Wabongo ni Bora zaidi ya hiyo ya Kutoka Nje,