lucky sabasaba
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,656
- 1,204
Wanaopata faida kubwa ni watu wanaochukua mzigo mkubwa kwa kufunga ktk containers..kama mjuavyo nchi ya qatar wanaandaa world cup hivyo hotels..viwanja na infrustructures nyingi vinajengwa hivyo kwa sasa cement ipo kwenye high demands jana niliuliza bei ya cement kwa hapa dubai imepanda kufikia tsh 4000 kwa mfuko na bei ya tiles imepanda grade A ni tsh 10,000 kwa box lenye tiles 13 na tsh 7000 grade B lenye tiles 13..visa ya dubai ni rahisi sana maana ata airlines kama emirates wanawezakukupatia