Ngoja nikusaidie kukuita mkuu lucky sabasaba atakusaidia
Sasa si umsake kila kona ya dunia atujuze haya mambo manake hapa mmekuna ka upele kanakoniwasha kila siku!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nikusaidie kukuita mkuu lucky sabasaba atakusaidia
Habari JF members,
Naomba msaada kwa anayejua jinsi ya kuwa wakala wa uuzaji wa vifaa vya ujenzi na vinginevyo vinavyohusiana na ujenzi. Hapa namaanisha mfano: cement, tanks, mabati, sink, bathtub, .n.k
Mwenye taarifa zinazohusu swala hili naomba mchango wako, kujua vigezo, masharti, n.k.
Asanteni.
Sema upo mkoa gani? Kama Dar ntakupa agents wote wa vifaa vya ujenzi
Yap, nipo Dar es salaam,na frem kama ofisi tarajiwa ipo tayari maeneo ya tabata.
Sasa si umsake kila kona ya dunia atujuze haya mambo manake hapa mmekuna ka upele kanakoniwasha kila siku!
Nenda kwa mama wahenga pale buguruni, atakusaidia vyote hivyo
asante, buguruni sehem gani pale,na anaweza kunisaidia niwe agent ambaye nacontact direct na manufacturer! Na naskia baadhi ya vifaa wanauza bei rahisi zaidi kule Zanzibar haswa plumbing fixtures.unayotarfa kama hii?
Asante, Buguruni sehem gani pale,na anaweza kunisaidia niwe agent ambaye nacontact direct na manufacturer! Na naskia baadhi ya vifaa wanauza bei rahisi zaidi kule Zanzibar haswa plumbing fixtures. Unayotarfa kama hii?
Sina taarifa na zanzibar, ila nenda kkoo kwenye maduka ya jumla. ila kama unataka vitu vikubwa nenda pale kwa maam wahenga
Mkuu huyo mama Wahenga unaweza kutuwekea contacts zake ili tumpige wire? Nilijipigiza siku moja pale KAMAKA kuna baadhi ya vifaa vina bei poa vingine wananyoa sana! Hapo ndo Mimi nalewa kabisa. Huku kwetu kuna jamaa wanauza bei chee kiasi huwezi shindana nao na wanadai wanachukulia Dar sasa najiuliza ni Dar gani hiyo? Hebu wakuu mtusaidie labda nasi tutatoka!

Mmmmmh la kweli hili mkuu????Kama huna 60 milions sahau kuhusu hardware
CONSULT nami pia napenda kuwasiliana nawe. xsadala@gmail.com
Ushauri wako job k ni mzuri, pia kumbukeni Unaposema Hardware ni pana sana hasa kwenye miji mikubwa inaweza gawanyika zaidi ya mara tatu, mfano Kariakoo Dar yapo maduka ya (Gypsum products board,powder, Hardboard, Belts, chip boards,marine boards,chokaa Rangi zote, tiles n.k) group la pili (bati,bomba maji, mabomba yote,flat bars sq pipies nondo,steel sheets, Glasses, wire mesh, hardboards,misumari, tiles,) tatu (patasi,nyundo,misumari,kufuli, gundi mbao, dawa mbao, pvc sheet,bawaba tape maji) huo ni mfano tu unaweza tofautisha hardware ndg ndg na pia hardware kubwa kubwa wapo watu wanauza aina zote za cement na chokaa tuuuu kwa hardware ndg ndg mtaji hata wa 5 mln unatosha sana hasa ukiwa karibu na mafundi wa vitu hivyo lakini kama ni kubwa mfano ya cement roli moja tu mikoani 10 mln na zaidi kwa hiyo wote muko sawa wa 60 mln na pia 7 mln
Mkuu kama ni HARDWARE kubwa tuwasiliane nitakupa data zote niko kwenye hiyo zaidi ya miaka 20, naijua vema ndogo hapana siijui
karibu sanaNtakutafuta mkuu!!!!

Shukran mkuuUshauri wako job k ni mzuri, pia kumbukeni Unaposema Hardware ni pana sana hasa kwenye miji mikubwa inaweza gawanyika zaidi ya mara tatu, mfano Kariakoo Dar yapo maduka ya (Gypsum products board,powder, Hardboard, Belts, chip boards,marine boards,chokaa Rangi zote, tiles n.k) group la pili (bati,bomba maji, mabomba yote,flat bars sq pipies nondo,steel sheets, Glasses, wire mesh, hardboards,misumari, tiles,) tatu (patasi,nyundo,misumari,kufuli, gundi mbao, dawa mbao, pvc sheet,bawaba tape maji) huo ni mfano tu unaweza tofautisha hardware ndg ndg na pia hardware kubwa kubwa wapo watu wanauza aina zote za cement na chokaa tuuuu kwa hardware ndg ndg mtaji hata wa 5 mln unatosha sana hasa ukiwa karibu na mafundi wa vitu hivyo lakini kama ni kubwa mfano ya cement roli moja tu mikoani 10 mln na zaidi kwa hiyo wote muko sawa wa 60 mln na pia 7 mln
Mkuu kama ni HARDWARE kubwa tuwasiliane nitakupa data zote niko kwenye hiyo zaidi ya miaka 20, naijua vema ndogo hapana siijui
Yaan nlikuja na nia ya kuulizia hii biashara nikasema pengine kuna mtu alisha post kumbe humu ndani hukosi kitu aisee, sasa mabosi zangu mbna hamzungumzii maeneo ya kuweka hio mambo, mimi nna two plots kimoja kipo mlandizi na kingine kipo boko wapi nit pazuri cha mlandz kipo barabaran cha boko kipo interior...msaada pliz