visagold
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 327
- 177
Boko na Bunju ndio maeneo muafaka kwa biashara ya hardware kwa sababu ndiyo maeneo mapya na vifaa vinahitajika zaidi ya Chalinze. Unaweza kukodisha fremu eneo bora kwa wateja kufika. Kiwanja cha ndani unaweza kufanya kama ghala la mbao, cement, nondo na kama eneo ni kubwa unaweza kufyatua matofali.
Ama kweli Mungu akupe haja ya moyo wako. Ubarikiwe munoooo