Biashara ya Vifaa vya Ujenzi (Hardware Store): Ushauri wa Mtaji, Uendeshaji, Changamoto na Faida

Biashara ya Vifaa vya Ujenzi (Hardware Store): Ushauri wa Mtaji, Uendeshaji, Changamoto na Faida

Mkuu nna mtaji wa 10mil hv

kwa huo mtaji cha muhimu ingia kama mfanyabiashara fungua store zako hata tatu mazingira tofauti weka mzigo pale wanauza kuanzia nadhani 100 kwa uhakika zaidi nenda pale bondeni kituo kabla ya tangibovu mbezi beach kuna jamaa anatengeneza tofali muulizie anao mawakala alikuwa anajumua elfu kumi mwaka jana hiyo january USIOGOPE SANA UNAPOTAFUTA
 
Mkuu kama una namba ya Huyo jamaa naomba unisaidie ili niwasiliane nae.
 
Kila kiwanda kina utaratibu wake.

Nenda pale wazo twiga cement waombe wakupe utaratibu wa kuwa wakala.

Pia, uwe na wateja wa uhakika, sio unaenda kiwandani kuchukua cement unaenda kuiweka store baada ya hapo ndo uanze kutafuta wateja.

Nashukuru, nitakwenda kuwaona.
 
usimwogopeshe bhana!

Iko hivi;
kuna uwakala mkubwa na uwakala mdogo.

kama unataka kuwa wakala mkubwa unatakuwa ume na kampuni yenye usajili wa kisheria(hii inafahamika,...brela,tin,lessen kutoka manispal).

unatakiwa uwe na magari nakubwa ya kubebea.
pia uwe na vituo vya kusambazia si chini ya 60.

ukiwa na vigezo hivyo unaenda moja kwa moja kiwandani(Nazungumzia wazo-twiga cement wengine sijui vigezo)
ukifika ni faster tu hata uchekeweshwi.

uwakala mdogo

utanunua kwa mawakala wakubwa....minimum unanua tani moja ambapo kama bei hazijabadikija ni Tshs10500/ kwa mfuko.

Du!, Mkuu Ruhazwe jnr, Magari nakubwa ndo mtihani. Ila vituo navyo naona vingi sana.
 
Kuwa wakala mdogo napo ni tabu,kikubwa jifunze io biashara kwanza,usijejikuta unamezwa na huyo wakala mkubwa unaechuku kwake,hii biashara inafitina sana,unaweza chukua kwke tani5 au kumi, atakupa na usafiri. Akishajua mteja wako atamuaproach adi atampata na atakua anammwagia mzigo pale hat roli Zima kwa mkopo, anyway soma hii biashara kwanza usikurupuke sjui nini,niliposema sio mchezo bado namaanisha. Jifunze hata storage yake, location ya biashara, wateja wake yaan ndio uanze michakato. Ukikurupuka utapurula na kukuta mawe store kwako!
 
Kuwa wakala mdogo napo ni tabu,kikubwa jifunze io biashara kwanza,usijejikuta unamezwa na huyo wakala mkubwa unaechuku kwake,hii biashara inafitina sana,unaweza chukua kwke tani5 au kumi, atakupa na usafiri. Akishajua mteja wako atamuaproach adi atampata na atakua anammwagia mzigo pale hat roli Zima kwa mkopo, anyway soma hii biashara kwanza usikurupuke sjui nini, niliposema sio mchezo bado namaanisha. Jifunze hata storage yake, location ya biashara, wateja wake yaan ndio uanze michakato. Ukikurupuka utapurula na kukuta mawe store kwako!

Nashukur mkuu kwa ushauri
 
kujiunga jf kunanipa moyo ktk maisha yangu, kwa jinsi navokutana na mada za kuhusu maisha nafarijika sana.
 
Habari zenu kaka zangu,

Nimesaidiwa mtaji wa biashara wa 5 millions. Na nimefikiria kuitia ktk biashara ya cement. Wakuuu naomba ushauri wenu.

Vp hii biashara ya cement munaionaje upande wa faida na hasara zake. Location nzuri ipo. Naomba kujua ni cement ipi nzuri kibiashara yaani yenye maslahi zaidi. Na pia naomba kujua jinsi ya kuitunza isiharibike. Yaani isigande. Pia naomba kujua bei za manunuzi kiwandani hata nyati cement na supaset naona hizo ndio zina soko kwa huku nilipo Sumbawanga.

Wakuu naomba msaada wenu.
 
Biashara hyoo inachangamoto saana boss, kama unataka kuuza kwa jumla huoo mtaji ongeza tano ingne ndo utaona faida yke,ila kam ni reja reja inakuwa tabu kdogo kwako maana mtu anaekuja kuchkua cement ya rejareja basi atahitaji nondo au bati yaani uchangnye na baadhi ya vifaa vya ujenzi. Cement nzuri inategemea location upo wap kam kanda ziwa cement yao maarufu ni twiga. Sasa kuuza cement inategemea na ww bei umechukulia wap..kam ni agent 2 au umebahatika kutoa mzgo ndani mwenyewe.
 
Nawashukuru ndugu asanteni sanaa.

Sasa kwa anaejua bei za kununulia kiwandani. Nyati na super set zinapatikanaje?
 
kama uko sumbawanga jitahidi ufike mbeya kiwanda cha cement utapata taarifa nzuri sana
 
Mm nimeshafanya hilo dili hapa Chunya. Kwa namna moja kuna changamoto kadha wa kadha, wateja wa huku wanapenda sana kubebewa cement mpaka syt zao, faida ya mfuko mmoja wa cement mara nyingi ina range kutoka 800-1300.faida hii hupungua kwa sababu ya gharama za usafiri wa cement kwan madalari wengi hawapendi kupakia cement katika magar yao.

Pia kama ukiweza ni vema utumie mtaji wa mil 10 ili uweze kununua kichanja kizima yaan cement 640,ukiweza hilo utafikisha mzigo kwa gharama nafuu kwani gari za wakala wa cement ndizo zitazopeleka mzigo wako mpaka selling point.

In case of anything niulize.
 
Mwaseba kwa uzoefu wako hiyo cement ya 10m inaweza isha kwa muda gani kama uko sehem nzur
 
Tumepata nafasi ya distributorship wa DANGOTE CEMENT tunakaribisha wawekezaji kwa kuongeza nguvu ya mtaji, karibu :0762586878. Kwa mazungumzo zaidi
 
Pia kwa wale ambao mna ujuzi na biashara hii naomba kujua faida ikoje na inafanyika namna gani?
 
Back
Top Bottom