Ccreation
Senior Member
- Sep 27, 2015
- 145
- 55
Mil 7 au zaidi suala la msingi tupate wadau wenye interest tunafanya kaziMtaji unaanzia ngapi wadau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mil 7 au zaidi suala la msingi tupate wadau wenye interest tunafanya kaziMtaji unaanzia ngapi wadau
Hiyo 60% kwa mwaka mkuu hata benki hawawezi kulipa,kumbuka gharama za uendeshji zote huhusikiNiwekeze 7M Halafu nipate 350000 per month? Hiyo biashara faida yake Ndogo sana
We unatafuta Muwekezaji au Mnunuzi kwani??Mwenye uwezo wa kununua tani 30 ambazo gharama yake ni tsh 7000,000 tunaweza kumpa faida ya 5% kila mwezi
hauwezi kabisaNikiwa na milion mbili ninaweza kufanya kazi hii?
Msaada.
Roli moja la mchanga kubwa ni tzs 120000-180,000 inategemeana uko wapi kwa hapa Dar
Mifuko 12 kwa roli moja =13500x12
Upigaji tzs 5000 kwa mfuko x 12=60000
Idadi ya tofali za biashara kwa mfuko 1 ni 55 hadi 60. Maji na upangaji wa tofari fanya 30,000/= asume 5% ya tofali zitavunjika. Fanya tofali moja utauza kwa sh800-1000. Hizo zote ni variable cost. Hapa naasume kuwa tayari una mashine na vibao vyake. Kama huna machine andaa laki 4 hadi 3.5
Tukiacha za biashara, uimara wa tofali unatakiwa kuchanganya kiwango gani cha cement na mchanga?
Nahitaji kupiga tofali zangu binafsi za kujengea maana naamini zinazouzwa kunakuwa na uchakachuaji ili kutengeneza faida kubwa zaidi.
Hapa nilipo tofali moja ya inch 5 ni sh.1500.
Nikinunua mashine yangu binafsi ya kupigia tofali naamini naweza kuikodisha kwa watu na ikanirudishia faida pia.
uimara wa matofali unategemea na aina ya mchanga, aina ya maji unayotumia, aina ya cement, machine inayotumika kuyatengeneza na umwagiliaji wa maji baada ya kufyatua hasa hasa siku sita za kwanza tokea kufyatua. Mchanga wa kolongoni au unaopatikana kwa kuuuzoa mitaani ni tofauti sana na ule unaochukuliwa kule bagamoyo au maeneo ya kibaha kule, nimeona maeneo ya boko dsm watu wanachukua mchanga wa bagamoyo wanauchanganya na ule wa kolongoni kwa ratio ya 2:3 kupata tofari nzuri na kafaida. nadhani ule wa bagamoyo ni mzuri zaidi. Maji yakiwa na acid au salt sana sio mazuri kwa kufyatulia matofali, wataalam wa cement wanalijua hili chumvi ni adui mkubwa wa cement kwenye quality ya kukamata udongo (binding effect), aina ya cement na zenyewe ni sababu nyingine sio kila cement inafaa ukiwaona wataalam wa cement watakushauri kwa ubora zaidi juu ya hili, Twiga, rhino na ile ya pakistan nadhani ni bora sana. suala la machine pia ni muhimu nadhani kwenye uimara tofari la machine ya mkono ni tofauti sana na aliyetumia machine ya umeme yenye vibration na hii pia inachangiwa na uchanganyaji wa cemet na mchanga kupata equal distribution(mchanganyiko ulio sawa). tofali ukiwa mzembe kuzimwagilia maji tegemea asara ya tofali kupasuka, tofali baada ya siku moja tokea ufyatue lazima ulimwagilie maji ya kutosha asubuhi na jioni kwa muda walau siku tano. huo ndio mchango wangu ahsante.Tukiacha za biashara, uimara wa tofali unatakiwa kuchanganya kiwango gani cha cement na mchanga?
Nahitaji kupiga tofali zangu binafsi za kujengea maana naamini zinazouzwa kunakuwa na uchakachuaji ili kutengeneza faida kubwa zaidi.
Hapa nilipo tofali moja ya inch 5 ni sh.1500.
Nikinunua mashine yangu binafsi ya kupigia tofali naamini naweza kuikodisha kwa watu na ikanirudishia faida pia.
Roli moja la mchanga kubwa ni tzs 120000-180,000 inategemeana uko wapi kwa hapa Dar
Mifuko 12 kwa roli moja =13500x12
Upigaji tzs 5000 kwa mfuko x 12=60000
Idadi ya tofali za biashara kwa mfuko 1 ni 55 hadi 60. Maji na upangaji wa tofari fanya 30,000/= asume 5% ya tofali zitavunjika. Fanya tofali moja utauza kwa sh800-1000. Hizo zote ni variable cost. Hapa naasume kuwa tayari una mashine na vibao vyake. Kama huna machine andaa laki 4 hadi 3.5vibao ni kuanzia 300 mbavyo ni sh laki nne hivi