Biashara ya Vifaa vya Ujenzi (Hardware Store): Ushauri wa Mtaji, Uendeshaji, Changamoto na Faida

Biashara ya Vifaa vya Ujenzi (Hardware Store): Ushauri wa Mtaji, Uendeshaji, Changamoto na Faida

Hii ni biashara nzuri kama utapata location nzuri,changamoto kubwa ya hii biashara ni mtaji kwani inahitaji mtaji mkubwa mno
 
Biashara ya hardware ni nzuri lkn pia imegawanyika kwenye maeneo mengi Vifaa vya kuanzia ujenzi,na vyaumaliziaji ss inatakiwa ujue sehem unayotaka kufungua Vitu vyaaina gani watu wanahitaji! Naili upate faida nzuri inatakiwa uwe na Mtaji MKUBWA vinginevyo utaishia kupata HELA yakula2!
Mtaji wa kuanzia tsh ngapi
 
Kaka biashara hiyo ni nzuri sana, usireudi nyuma, mtaji wa milioni 35 maka50 unaifanya, wewe unachotakiwa kukifanya ni kuwa baada ya kuifungua uipe grass period ya matumizi binafsi maana ukiifungua na kuanza kupata fedha na kuishia kuzira itakula kwako, kama unamtaji wamilioni 50m, tafadhali fungua kwa 40, kumi ibakie ya matumizi yako bnafsi! hakka 40m itajizaa mara dufu, ungekwa DSM ningekushauri uje ofisini kwangu nikuoneshe inavyoweza kukufaidisha.
 
Naweza kuja kwa maana nipo siriaz kwenye hiyo ishu.
 
unataka kuanza kwa mtaji wa Mkopo au wako personaly,check with me 0717616227
 
kaka biashara hiyo ni nzuri sana, usireudi nyuma, mtaji wa milioni 35 maka50 unaifanya, wewe unachotakiwa kukifanya ni kuwa baada ya kuifungua uipe grass period ya matumizi binafsi maana ukiifungua na kuanza kupata fedha na kuishia kuzira itakula kwako, kama unamtaji wamilioni 50m, tafadhali fungua kwa 40, kumi ibakie ya matumizi yako bnafsi! hakka 40m itajizaa mara dufu, ungekwa DSM ningekushauri uje ofisini kwangu nikuoneshe inavyoweza kukufaidisha.
Grace period
 
Babangu una mawazo mazuri sana ila tatizo kiswahiliiii!! Tusubiri Msuya wa Tanesco atufanikishie kesho yale mambo yetu ndio mengine yafuate
kaka biashara hiyo ni nzuri sana, usireudi nyuma, mtaji wa milioni 35 maka50 unaifanya, wewe unachotakiwa kukifanya ni kuwa baada ya kuifungua uipe grass period ya matumizi binafsi maana ukiifungua na kuanza kupata fedha na kuishia kuzira itakula kwako, kama unamtaji wamilioni 50m, tafadhali fungua kwa 40, kumi ibakie ya matumizi yako bnafsi! hakka 40m itajizaa mara dufu, ungekwa DSM ningekushauri uje ofisini kwangu nikuoneshe inavyoweza kukufaidisha.
 
Ni biashara poa sana binafsi nipo kwenye hardware mwaka wa pili sasa hapa mwz.sema mtaji ni mrefu alafu hela yako huwezi iona maana items zake ni nyingi kila mara duka linatakiwa lijae
 
we kijana mbonas mbona umeniandama? nyie vijana wa DSM akika ni km majogoo ya shama yasyowika mjini.
Babangu una mawazo mazuri sana ila tatizo kiswahiliiii!! Tusubiri Msuya wa Tanesco atufanikishie kesho yale mambo yetu ndio mengine yafuate[/QUOTE
 
Habari za majukumu wadau wa jukwaa hili. Mi nafanya biashara ya duka la hardware kkoo na ninauza kwa jumla na rejareja. Natafuta wateja wa mikoNi kwa ajili ya kuwauzia baadhi ya bidhaa kwa jumla.

Kama wapo wadau wa masuala haya ya hardware humu tuanze kuwasiliana na kuona tunafanyaje biashara. Sio wa mikoani tu, hata kwa wa dar pia. Karibuni
 
Back
Top Bottom