Biashara ya Vifaa vya Ujenzi (Hardware Store): Ushauri wa Mtaji, Uendeshaji, Changamoto na Faida

Mtaji milion 2 na kuendelea kuhusu mzigo utapata wapi hapo mwanza kuna super dealier wa vifaa vya ujenzi mfano kamaka
 
Wadau naomba muongo kwa mwenye kufahamu kuhusu biashara ya cement mtaji wake, Faida yake, changamoto zake, na mbinu za ufanyaji wake na je ina faa kwa MTU mwenye mtaji mdogo wa 3m? Msaada please

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
ngoja wadau wa ujenzi waje wakusaidie

Sent from my SM-A800F using JamiiForums mobile app
 
Anza na mifuko mia, weka biashara kwenye sehemu ujenzi unapokolea, mara nying faida ni buku na chini ya buku kwa mfuko, usioige bomba, kama una mkokoten na kijana mtu akinunua mifuko kuanzia mitano na sio mbali mpelekee, baadae unaongeza kdgo kdogo.
 
Shukrani kwa mchango wako bro

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Wadau naomba muongo kwa mwenye kufahamu kuhusu biashara ya cement mtaji wake, Faida yake, changamoto zake, na mbinu za ufanyaji wake na je ina faa kwa MTU mwenye mtaji mdogo wa 3m? Msaada please

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app

Biashara ya cement hususan kama utakuwa unauza kwa bei ya rejareja inatoka zaidi ikiwa inauzwa na vifaa vingine vya ujenzi. Hii ni sababu wateja wengi wa ujenzi huka tayari una duka la hardware, hata kama halina vifaa vingi, unaweza kuanza na hata mifuko 100-200.

Ila kwa kiasi hiki kidogo cha cement, hutaweza kununua moja kwa moja kiwandani na kunufaika na bei ya kiwandani ambayo kwa sasa kwa mfano Dangote ni sh 9500/mfuko wa grade 32.5 na 10000/mfuko wa grade 42.5. Kiasi cha chini unachoweza kuagiza kiwandani ni tani 30 (mifuko 600) ambayo ni kati ya sh mil 5.7 - mil 6 kutegemea na grade. Kwa Dangote haultalipia usafiri na utaletewa hadi mlangoni. Kwa baadhi ya makampuni inabidi ujitegemee gharama za usafirishaji kutoka kiwandani hadi kwako.

Kwa mtaji wako wa mil 3, itabidi ununue kwa watu wa kati ambao wananunua kiwandani ambao wao huongeza faida ya kati ya sh 500-1000/mfuko. Kama utanunua zaidi ya mifuko 50, wauzaji wengi watakuuzia kwa bei ya jumla (10,000 au 10,500) kulingana na grade. Cha muhimu ni kuzungumza nao vizuri, maana mwingine anaweza hata kukuuzia chini ya hapo kama utachukua mzigo mkubwa kwa mara moja.

Ikija swala la faida, faida kwa mfuko wa cement ni ndogo sana (sh 500-1000) kulingana na soko na ushindani ni mkubwa. Ukinunua huo mfuko wa sh 10,000, ili kushindana na soko hutaweza kuuza zaidi ya sh 11,000 kutegemeana na eneo ulipo. Kama wauzaji ni wengi zaidi basi tegemea kuuza chini ya hapo. Biashara ya cement ni biashara ambayo inategemea "volume sale" ili uweze kuona faida ndio maana wafanyabiashara wengine wanaoagiza kutoka kiwandani wako tayari hata kupata faida ya sh 300/mfuko ili kuvuta wateja na kuhakikisha mzigo wa mifuko 600 au zaidi unaisha siku moja.

Kwa uzoefu wangu, biashara ya cement inahitaji mtaji mkubwa ili kuona faida nzuri. Fikiria mzigo wa tani 30 ambao ni sh mil 6 utazalisha faida ya laki 3 (sh 500/mfuko), ambayo si ndogo sana kama utaweza kuuza angalau tani 30/wiki lakini kama huo mzigo utakaa zaidi ya wiki 4 dukani (na hii inatokea kwa hali ya soko hivi sasa), utaona ni faida ndogo sana kwa uwekezaji huo. Maana kumbuka hapo kuna gharama za ushushaji wa cement ambayo kawaida ni sh 100/mfuko na kama umemweka mtu akusaidie naye inabidi umlipe. Kwa watu wenye mitaji mikubwa kidogo wanaongeza mzunguko wao cement kwa kuagiza mzigo mkubwa zaidi na kuisambaza kwa wafanyabiashara wadogo kwa faida si zaidi ya sh 500/mfuko. Lengo kuu ni kuhakikisha mzigo haukai dukani na unauzika kwa haraka.

Kwa uzoefu wangu changamoto kubwa kwenye cement ni kwamba wakati mwingine uzalishaji unakuwa si wa kuaminika, na hii ni kwa viwanda vyote (mara chokaa imeisha, makaa yameisha au malori ya kusafirishia hayatoshi n.k). Unaweza ukawa umelipia mzigo, halafu zikapita zaidi ya wiki mbili unazungushwa kupata mzigo. Sasa hii inaumiza especially kwa wenye mitaji midogo, maana hela umeshatoa kwenye mzunguko na wakati mwingine unakuwa umeshamwahidi mteja kwamba cement yake atapata kesho na hela yake ushachukua...

Pia kama unauza aina moja tu ya cement hio pia itakuwa changamoto, maana kuna wateja kwa mfano hawatumii brand yoyote zaidi ya twiga, kwa hio ni muhimu kuwa na angalau aina mbili au zaidi ya brand. Sasa kama mtaji mdogo itakuwa changamoto kuweza kuwa na brand tofauti za cement kwa wakati mmoja.

Changamoto nyingine hivi sasa ni soko. Kwa kweli soko limeshuka sana, lakini nafikiri hio si kwa cement tu, bali hata kwa bidhaa nyingine.

Ushauri wangu kwako:
1. Kama una duka la hardware na unataka kuongeza cement, basi anza na mifuko 100-200. Ingawa faida si kubwa, lakini uwepo wa cement kwenye duka la hardware inasaidia sana vitu vingine kuuzika kwa vile mteja wa cement mara nyingi atataka vitu vingine vya ziada zaidi ya cement.

2. Kama huna duka la hardware na unataka kufanya biashara ya cement peke yake nakushauri uongeze mtaji ili uweze kuagizia kiwandani. Hii itakusaidia kwenye ushindani wa bei ambayo itakuwezesha kuvuta wateja. Kumbuka wenye maduka ya hardware wana bidhaa nyingi ambazo humvuta mteja, lakini kwa upande wako itakubidi bei yako iwe ndo kigezo kikuu cha kumfanya mteja aje kwako kununua cement tu kwako, halafu atoke aende duka jingine kununua mahitaji mengine ya ujenzi badala ya kufanya manunuzi yote kwenye duka moja.

3. Kama ushindani si mkubwa eneo lako, unaweza ukaanza na mifuko 200-300 kwa biashara ya cement pekee, lengo lako la awali likiwa ni kutengeneza soko na kujifunza biashara huku ukikuza mtaji ili kuweza kuagiza kutoka kiwandani.
 
Tafuta kontena tupu nenda sehemu ambayo kuna ujenzi ila maduka ya ujenzi yapo mbali weka hapo, uza kwa bei punguzo kidogo, chukua mifuko mia kuanzia. Au quote bodaboda. Utafanya tu biashara.
 
Mdau umeeleweka sana katika hili pia Asante sn kwa kushea uzoefu wako uliotukuka. Napenda kutoa shukrani zng za zati kwako.
 
Asante sana mkuu,you are too SPECIAL, wachache sana wanaweza kujitolea kutoa darasa zuri namna hii, Tumejifunza wengi.
GOD BLESS YOU

007 james Bond
 
Thanks Quote Reply
Select for moderation Edit History Ban
Shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu,

Naombeni ushauri kati ya biashara ya vifaa vya ujenzi (hardware), na mradi wa daladala. Katika biashara ya vifaa vya ujenzi naomba kujua changamoto zake na jinsi ya kununua vifaa na faida zake kwa ujumla. Na kwa upande wa mradi wa daladala ambao mimi mwenyewe ndo ntakua kondakta naomba kujua faida na changamoto zake na jinsi ya kuuanzisha huu mradi.

Ahsanteni nawasilisha.
 
Vya hardhardware haviozi ndio sababu mabohora wengi wapo kwenye biashara hiyo ni ushauri wa Shehe kubwa wao. Lakini daladala shughuli yake nzito.
 
Uzito wake ukoje mkuu kwenye biashara ya daladala? mabohora ndo watu wa aina ipi shehe?
 
Hardware sawa.

Ila daladala ujipange haswa, INA stress balaa na ili ikulipe unahitajika uwe unaifahamu gari haswaaa, unafaham chocho zote za spare, unafaha garage aminifu na rahisi.
Kubwa kuliko yote hutakiwi kuwa na moja

Good luck
 
Gari naifahamu vizuri na mimi ndo ntakua kondakta. shukrani mkuu kwa ushauri mzuri Mungu akubariki.
 
YAANI HAPO KWENYE DALADALA NDUGU YANGU NIPASUA KICHWA BORA UFANYE BIASHARA YA HARDWARE TU ILA KAMA UNAPENDA DALADALA NA ULISHAANZA ENDELEA TU HALAFU UJE UNIPE MREJESHO
 
Back
Top Bottom