Biashara ya Vifaa vya Ujenzi (Hardware Store): Ushauri wa Mtaji, Uendeshaji, Changamoto na Faida

Habari JF members,

Naomba msaada kwa anayejua jinsi ya kuwa wakala wa uuzaji wa vifaa vya ujenzi na vinginevyo vinavyohusiana na ujenzi. Hapa namaanisha mfano: cement, tanks, mabati, sink, bathtub, .n.k

Mwenye taarifa zinazohusu swala hili naomba mchango wako, kujua vigezo, masharti, n.k.

Asanteni.

Sema upo mkoa gani? Kama Dar ntakupa agents wote wa vifaa vya ujenzi.
 
asante, buguruni sehem gani pale,na anaweza kunisaidia niwe agent ambaye nacontact direct na manufacturer! Na naskia baadhi ya vifaa wanauza bei rahisi zaidi kule Zanzibar haswa plumbing fixtures.unayotarfa kama hii?

Sina taarifa na zanzibar, ila nenda kkoo kwenye maduka ya jumla. ila kama unataka vitu vikubwa nenda pale kwa maam wahenga
 
Asante, Buguruni sehem gani pale,na anaweza kunisaidia niwe agent ambaye nacontact direct na manufacturer! Na naskia baadhi ya vifaa wanauza bei rahisi zaidi kule Zanzibar haswa plumbing fixtures. Unayotarfa kama hii?

Mkuu Buguruni kwa Mama waHENGA ni pale ukitokea ubungo baada yakupita kituo cha tbt matumbi na zile YARD kwa mbele kushoto utaona maGHOROFA upande wa kushoto ukiulizia hapo umefika Ila huja sema ni Vifaa gani vya Ujenz unataka manake Vimegawanyika sehem nyingi hebu sema kwanza then tujue pakuanzia kukushauri Ingawa pia unasema unatakaa uWAKALA lkn nadhani lazima uanze Kwa nguvu zako ili hataa huyo unaetaka uwe wakala wake ashawishike Vinginevyo km ni Mabomba na Fittings zake check namm muda wote..

Karibu sana
 
Sina taarifa na zanzibar, ila nenda kkoo kwenye maduka ya jumla. ila kama unataka vitu vikubwa nenda pale kwa maam wahenga

Mkuu huyo mama Wahenga unaweza kutuwekea contacts zake ili tumpige wire? Nilijipigiza siku moja pale KAMAKA kuna baadhi ya vifaa vina bei poa vingine wananyoa sana! Hapo ndo Mimi nalewa kabisa. Huku kwetu kuna jamaa wanauza bei chee kiasi huwezi shindana nao na wanadai wanachukulia Dar sasa najiuliza ni Dar gani hiyo? Hebu wakuu mtusaidie labda nasi tutatoka!
 
Sina number yake.
 
Ha,ha,ha.haaaa, mkuu Manjagata umenichekesha sana hapa. Ilinikumba hii kampala nimeenda zangu kutembea nikataka ninunue mashati kwa bei za jumla. daaah kila duka nililouliza pale mukwano bei naona ziko kama za bongo. Lakini mwisho kabisa nikabahatisha duka moja hilo kumbe nilikuwa nalipita kila wakati!!!! jaribu kupoteza muda hata siku mbili utafute tena, tembea kwa mguu duka kwa duka.
 
Ni idea nzuri na ya mafanikio kazeni buti. I have three monthes on thst hardware busimess na bafo narndrkea.nayo so usikatae tamaa bsli tuu kuwa serious na unacho hitaji kukifanya utafanikiwa tuu
 
Ushauri wako job k ni mzuri, pia kumbukeni Unaposema Hardware ni pana sana hasa kwenye miji mikubwa inaweza gawanyika zaidi ya mara tatu, mfano Kariakoo Dar yapo maduka ya (Gypsum products board,powder, Hardboard, Belts, chip boards,marine boards,chokaa Rangi zote, tiles n.k) group la pili (bati,bomba maji, mabomba yote,flat bars sq pipies nondo,steel sheets, Glasses, wire mesh, hardboards,misumari, tiles,) tatu (patasi,nyundo,misumari,kufuli, gundi mbao, dawa mbao, pvc sheet,bawaba tape maji) huo ni mfano tu unaweza tofautisha hardware ndg ndg na pia hardware kubwa kubwa wapo watu wanauza aina zote za cement na chokaa tuuuu kwa hardware ndg ndg mtaji hata wa 5 mln unatosha sana hasa ukiwa karibu na mafundi wa vitu hivyo lakini kama ni kubwa mfano ya cement roli moja tu mikoani 10 mln na zaidi kwa hiyo wote muko sawa wa 60 mln na pia 7 mln

Mkuu kama ni HARDWARE kubwa tuwasiliane nitakupa data zote niko kwenye hiyo zaidi ya miaka 20, naijua vema ndogo hapana siijui

Ntakutafuta mkuu!!!!
 
Yaan nlikuja na nia ya kuulizia hii biashara nikasema pengine kuna mtu alisha post kumbe humu ndani hukosi kitu aisee, sasa mabosi zangu mbna hamzungumzii maeneo ya kuweka hio mambo, mimi nna two plots kimoja kipo mlandizi na kingine kipo boko wapi nit pazuri cha mlandz kipo barabaran cha boko kipo interior...msaada pliz
 
Shukran mkuu
 
Boko na Bunju ndio maeneo muafaka kwa biashara ya hardware kwa sababu ndiyo maeneo mapya na vifaa vinahitajika zaidi ya Chalinze. Unaweza kukodisha fremu eneo bora kwa wateja kufika. Kiwanja cha ndani unaweza kufanya kama ghala la mbao, cement, nondo na kama eneo ni kubwa unaweza kufyatua matofali.
 
Back
Top Bottom