Biashara ya vipuri vya pikipiki: Ushauri, michango, mawazo

Huu uzi tangu 2010, August 23 mpaka leo sept 27, 2020 miaka 10 mwezi mmoja na siku 4 bado hauna info zilizoshiba japo kuna waliojitambulisha kwamba wanauza spea jumla. Sijui waTZ tunafeli wapi!!.
Watu wanataka nyuzi za kula tundaa.... ahahaaa (kidding)
 
Kwa uzoefu wangu items ambazo ni fast moving kwa anayeanza biashara hii ni Kama ifuatavyo,
Engine oil petrol no.40, tube 300.17 ,275.17,300.18 clutch cable,speed cable,brake cable,acc.cable,chork cable.
Bearings 6200,6300,6004,6202,6302,628,6304,6205.spark plug,side mirror, winker lamp(indicators), head lamp,head cases,lamp holder,front bulbu,signal bulbu,tail lamp,peddle brake,gear leaver, handle bar, sprockets set,chain,front sprockets 14 teeth&13teeth,back sprockets, dimmer switch left,helmet glass1/2 and full,dash board,switch key,side cover,side cover lock,kick,spring kick,side spring,brake switch,clutch handle,brake handle,brake shoes,brake pads,brake line,rear hub,chain box,flasher,starting coil,wirering complete,rubber boots,handle gripe,fuel tank covers,kick shuft, sprockets shuft,cylinder complete,connecting load,engine block,valves,silcon,piston kit,valves grinding paste,gasket kit,block gasket,piston rings,gear leaver shuft,tire front 275.17-18 & back 300.17-18,410-16,
Clutch plates, clutch disck,clutch housing, Horne,shock absorber,foot rest,spring kick,brake fluid 250mg, crunk shaft, relay starter etc kwa mwanzo unaweza kuanza na hayo but zingatia location na kuwa mwaminifu kwa wateja wako na pia shirikiana na fundi wako katika kazi hii
Kuhusu mtaji angalau anza na million 5 Kama ni mjini na Kama ni pembeni unaweza kuanza na million mbili au 1.5 hapo utapata carton moja ya engine oil oryx,tube, bearing,bulbu, indicators,side mirror na cabble za clutch na acc.cabble pia na bolt size namba 8,10,12,13,17etc

Mwenyezi Mungu awabariki sana.
Mkuu umeutendea haki huu uzi, shemeji yako anatafuta location nzuri akifanikiwa ntakusumbua zaidi. Sasa kwa upande wa fundi makubaliano kwa kawaida yapo je?
 
Mkuu naomba kujua connection wapi wanauza bolt Bei ya jumla?
 
Kwa kawaida fundi kazi yake ni kuhakikisha mteja akifika dukani anamuuzia spare hata Kama ni bulbu ya sh.miatano anamshawishi na kumuwekea spare husika...mkataba wako na fundi ni kuhakikisha spare inauzika maana wateja walio wengi husikiliza ushauri wa mafundi kuliko muuzaji ukizingatia kampuni za spare ni nyingi na hutofautiana ubora na bei pia so fundi ni kumshawishi mteja anunue spare kwako dukani makubaliano huwa yapo hivo.
 
Mkuu naomba kujua connection wapi wanauza bolt Bei ya jumla?
Sasa hii sijajua wewe upo sehemu gani Mimi nipo kanda ya ziwa spare naifata Uganda Ukifika Kampala nenda mitaa ya Kiseeka market, Gagawala street, Nabugabo shopping centre na Shamba complex hiyo mitaa yote utapata Kila aina ya bolts kwa kg1 inauzwa ugx 10,000/= na pia spare yoyote utaipata maeneo hayo.
 
Mimi pia niko Kanda ya Ziwa ila nilisikia Ug mipaka imefungwa hii ipoje kwa sasa?
 
Leo nimeanza rasmi kutafuta fundi pikipiki mzuri. Nilichofanya nimeongea na madereva bodaboda wanitajie majina na namba za simu za mafundi Pkpk ws3 wazur. Nimeshaongea nao na tumewekeana ahadi ya kukutana nao mmoja baada ya mwengine.
 
Nimekutana na fundi Pkpk Jana usiku nikamuelezea nia yangu ya kufungua duka la vipuri vya tuktuk. Ameniambia niweke 7m duka litakua vzr lkn pia akanishauri kama ninaweza niweke na vipuri vya bajaji sbb zimeanza kua nyingi huku Arusha ila hakunipa mtaji wa kuweka kwaajili ya vipuri vya bajaji mpaka kesho Jmos.

Kama nikishindwa kuweka vyote akashauri tena basi tuanze na vipuri vya bajaji. So nasubiri kesho anipe gharama alaf nipime vimbavu vyangu!!
 
Kwa uzoefu wangu items ambazo ni fast moving kwa anayeanza biashara hii ni Kama ifuatavyo,
Engine oil petrol no.40, tube 300.17 ,275.17,300.18 clutch cable,speed cable,brake cable,acc.cable,chork cable.
Bearings 6200,6300,6004,6202,6302,628,6304,6205.spark plug,side mirror, winker lamp(indicators), head lamp,head cases,lamp holder,front bulbu,signal bulbu,tail lamp,peddle brake,gear leaver, handle bar, sprockets set,chain,front sprockets 14 teeth&13teeth,back sprockets, dimmer switch left,helmet glass1/2 and full,dash board,switch key,side cover,side cover lock,kick,spring kick,side spring,brake switch,clutch handle,brake handle,brake shoes,brake pads,brake line,rear hub,chain box,flasher,starting coil,wirering complete,rubber boots,handle gripe,fuel tank covers,kick shuft, sprockets shuft,cylinder complete,connecting load,engine block,valves,silcon,piston kit,valves grinding paste,gasket kit,block gasket,piston rings,gear leaver shuft,tire front 275.17-18 & back 300.17-18,410-16,
Clutch plates, clutch disck,clutch housing, Horne,shock absorber,foot rest,spring kick,brake fluid 250mg, crunk shaft, relay starter etc kwa mwanzo unaweza kuanza na hayo but zingatia location na kuwa mwaminifu kwa wateja wako na pia shirikiana na fundi wako katika kazi hii
Kuhusu mtaji angalau anza na million 5 Kama ni mjini na Kama ni pembeni unaweza kuanza na million mbili au 1.5 hapo utapata carton moja ya engine oil oryx,tube, bearing,bulbu, indicators,side mirror na cabble za clutch na acc.cabble pia na bolt size namba 8,10,12,13,17etc

Mwenyezi Mungu awabariki sana.

Hongera sana Mkuu,, ili kuweza kuwa na vitu ulivovitaja hapo ambayvo hutoka haraka ,MTU atatakiwa kuwa na angalau shilingi ngapi ! ( minimum)

Asante.
 
Ameeleza soma hadi mwisho boss

Asante,,, ila hajasema kama inatosha kununua vitu vyote hivyo vinavotoka kwa haraka ,, kasema angalau kwa mjini mtu uwe na 5m lakin hajatanabaisha kama unaweza kununua vitu vyote alivovitaja.
 
HUENDA UKAHITAJI HUDUMA HII

KUSAJIL KAMPUNI
-jina la Biashara
-limited caompany
-partneship

HESABU ZA KAMPUNI(FINANCIAL STATEMENTS)

KUANDIKA MEMORANDUM

KUANDAA TENDA

VISA YA KUSAFIRIA

CRB

USAFI WA:
-Majumbani
-Viwandani
-maofisini
-hosipitalini
-shuleni
-maeneo ya jamii

TUKO NA UZOEFU WAKITOSHA

Wasiliana nasi kwa # 0788104228

USHAURI NI BURE

Popote ulipo TANZANIA tunakupa huduma.
Klin&Brite
 
Nimekutana na fundi Pkpk Jana usiku nikamuelezea nia yangu ya kufungua duka la vipuri vya tuktuk. Ameniambia niweke 7m duka litakua vzr lkn pia akanishauri kama ninaweza niweke na vipuri vya bajaji sbb zimeanza kua nyingi huku Arusha ila hakunipa mtaji wa kuweka kwaajili ya vipuri vya bajaji mpaka kesho Jmos.

Kama nikishindwa kuweka vyote akashauri tena basi tuanze na vipuri vya bajaji. So nasubiri kesho anipe gharama alaf nipime vimbavu vyangu!!
Mkuu ulifikia wapi
 
KomandoO,

Mkonowapaka, watamkwamisha au kumgonga bei. Kwa achunguze ni pikipiki za aina gani ndiyo nyingi kwenye soko. Angie kwenye website ya hawa wazalishaji na awombe uwakala wa kuuza spea watampa!

Pia awe anatengeza pia vijana wapo amuajiri moja au wawili. Asimamie mwenyewe! Akimwachia mtu amekwisha!

Nawasilisha.
Samahan ndg yangu unaweza ukajua web site zao wanazotumia Kama unajua nisaidie
 
Back
Top Bottom