Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Funga CCTV camera.
[emoji123]Shukrani kwa ushauri
Imenifikirisha.
Kama huna idea hata chembe badili gia angani uangalie uwezekano wa kufanya biznes nyingine vinginevyo mbele ni giza!
Kwanza kabisa hongera kwa uthubutu,pili biashara ya spear usiifanye Kama hujui hata kutofautisha bearings na Matumizi yake wapi inafungwa na vifaa vingine Kama hvyo.
Pia biashara hyo inahitaji uwepo wako ili kuweza kutambua mzunguko mzima wa biashara yako unaendaje,hiyo ikiwa ni pamoja na kujua vifaa gani vinakuwa rahisi kutoka ili visikosekane. Hapo ndio inaweza kuwa starting point yako. Spear sio kama ubwabwa kuwa umkabidhi jungu muuzaji huku ukiamini utamuhesabia plates.
Kingine ni location; hii Ina matter zaidi hasa mwanzoni unapo fikiria kufungua.MWISHO ni aina ya spear unayonunua ni kampuni gani,kuna spear ukinunua baada ya wiki ishasagika,kufanya return hutaruhusiwa Wala kuweza, hvyo umakini unahitajika.
Fuatilia hayo kwa muhtasari ukiwa tayari karibu kkoo tukuhudumie kwa Bei ya jumla nawe ukauze kwa reja reja.
Wasalaam
Kwa kuwa umesema ni duka dogo nashauri uweke records za kila item katika mzigo unaoanza nao mf sprocket 8, bulb kubwa 6 nk kisha muuzaji anaandika kwenye daftari kila anapouza item fulani na idadi yake. Mwisho wa wiki unahakiki kupitia list yako umeuza bulb ngapi na awali ulikuwa nazo ngapi. (hii ni simple stock taking kwa duka dogo na lengo ni kujua bidhaa ulizo nazo against ulizouza).
Ila kama lengo ni kufuatilia mlolongo wa mauzo in relation to utendaji na uaminifu wa muuzaji hilo ni suala lingine.
Lengo ni kusaidiana. Hapa naona umeibua hoja mpya ambayo ni nzuri kwa beginner ingawa mwenye uzi hakuomba msaada katika hili.Kwanza kabisa hongera kwa uthubutu,pili biashara ya spear usiifanye Kama hujui hata kutofautisha bearings na Matumizi yake wapi inafungwa na vifaa vingine Kama hvyo.
Pia biashara hyo inahitaji uwepo wako ili kuweza kutambua mzunguko mzima wa biashara yako unaendaje,hiyo ikiwa ni pamoja na kujua vifaa gani vinakuwa rahisi kutoka ili visikosekane.hapo ndio inaweza kuwa starting point yako.spear sio kama ubwabwa kuwa umkabidhi jungu muuzaji huku ukiamini utamuhesabia plates.kingine ni location;hii Ina matter zaidi hasa mwanzoni unapo fikiria kufungua.MWISHO ni aina ya spear unayonunua ni kampuni gani,kuna spear ukinunua baada ya wiki ishasagika,kufanya return hutaruhusiwa Wala kuweza,hvyo umakini unahitajika.
Fuatilia hayo kwa muhtasari ukiwa tayari karibu kkoo tukuhudumie kwa Bei ya jumla nawe ukauze kwa reja reja.
Wasalaam
Mkuu hapo baadae unaweza kufanya stock taking kwa kutumia programme za kompyuta,niliwahi kusoma humu JF kuna member anauza hiyo programme kwa bei nzuri tu itasaidia sana hata kwenye vipengele vingine vya management.Positive and very relevant! Mkuu umelielewa vyema bandiko langu... shukrani.
Yes, ni duka dogo tu la kuanzia. Hapo hapo kwenye stock taking: Bidhaa zilizopo against zilizouzwa. Hiki ndicho haswa nataka kujifunza. Kiongozi nakushukuru kwa mwanga huo as starting point.
Mkuu hapo baadae unaweza kufanya stock taking kwa kutumia programme za kompyuta,niliwahi kusoma humu JF kuna member anauza hiyo programme kwa bei nzuri tu itasaidia sana hata kwenye vipengele vingine vya management.
Wengi tunahofia muuzaji uliyemuajiri anaweza kuingiza vifaa vyake akauza pale ' free ride' wakat vya kwako vinabaki idadi ile ile.
Lengo ni kusaidiana. Hapa naona umeibua hoja mpya ambayo ni nzuri kwa beginner ingawa mwenye uzi hakuomba msaada katika hili.
Hoja ya list ya vifaa muhimu vya kuanza navyo dukani.
Nafahamu "brand" ya baadhi ya vifaa inategemea na eneo ulilopo lakini "aina" ya vifaa mara nyingi ni ile ile.
Namaanisha AINA ya kifaa ni brake handle,switch,dashboard lakini BRAND ni GN, HUOJIAO,BOXER,SANLG nk. Kwa hiyo ukiona inafaa unaweza kuorodhesha aina ya vifaa kwa anayehitaji aipate hapa lakini brand ataamua mwenyewe baada ya kufanya utafiti kwenye eneo lake kwa kuzingatia pikipiki gani zipo kwa wingi na vifaa vinavyorekebishwa mara kwa mara na mafund wa eneo hilo
Ili uwe sawa ungeenda kwenye maduka ya ma pro"wauzaji wa hizo spea ungekaa nao hata miezi 3 kujua ins and out ya hiyo biashara then ndio uamue kufungua yako. Kumbuka biashara yyte ili utengeneze faida lazima ujitoe kisawa sawa.
Dimma, Upo mkoa gani?
Kwa uzoefu wangu items ambazo ni fast moving kwa anayeanza biashara hii ni Kama ifuatavyo,Lengo ni kusaidiana. Hapa naona umeibua hoja mpya ambayo ni nzuri kwa beginner ingawa mwenye uzi hakuomba msaada katika hili.
Hoja ya list ya vifaa muhimu vya kuanza navyo dukani.
Nafahamu "brand" ya baadhi ya vifaa inategemea na eneo ulilopo lakini "aina" ya vifaa mara nyingi ni ile ile.
Namaanisha AINA ya kifaa ni brake handle,switch,dashboard lakini BRAND ni GN, HUOJIAO,BOXER,SANLG nk. Kwa hiyo ukiona inafaa unaweza kuorodhesha aina ya vifaa kwa anayehitaji aipate hapa lakini brand ataamua mwenyewe baada ya kufanya utafiti kwenye eneo lake kwa kuzingatia pikipiki gani zipo kwa wingi na vifaa vinavyorekebishwa mara kwa mara na mafund wa eneo hilo