Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
ongeza,cable za klach,side mirror,tairi,tube,indicator za sanlg na boxer,gia liva(chuma cha kupigia kiki) bolt nati za saizi kumi bulbu kubwa na ndogo,betri dry,cheni,reflekta,kava za taa za nyuma,honi,switch ya taa za bleki hizi nazo ni fast moving speaKwa uzoefu wangu kwakuwa hii biashara, ya spares za pikipiki especially bajaj nishawahi kufanya. Vitu vya msingi at list dukani kwako visikosekane ni kama vifuatavyo:- oil,Bering,gasket, bleckshoe,sporkect ,blag,rings,block, cilinder head ivyo kwa uchache.Kwa ushauri lazima uwe na fundi pembeni na ofic yako .