Biashara ya vipuri vya pikipiki: Ushauri, michango, mawazo

Hapo mchawi ni Fundi tu, ukipata Fundi mzur tu wanakuja wenyew
 
kima cha chini weka mil10-15 inapendeza
Kuna mtu alianza na laki 5 Leo hii tunapozumza ana maduka makubwa mawili za spea part za pikipiki, amejenga mji ana usafiri magari mawili,kwhy 10m-15m Kama hana ina masaa asifanye biashara iyo, aanze na kiasi hicho alichonacho cha msingi aanzie na vitu vidogo vinavyoaribikaga mara kw mara, kiasi chochote ulichonacho kinafaa, akina bhakresa wangesubiri kupata mamilioni Leo hii tusingekuw na bidhaa za azam, lkn alianzia chini ndo Aka kununua company ya azam
 
Hii biashara kama sio fundi utakuwa mtumwa wa mtaji wako mafundi wapuuzi sana labda fungua bei iwe chini ili waje tu kununua wakatengenezee huko
 
Huu uzi tangu 2010, August 23 mpaka leo sept 27, 2020 miaka 10 mwezi mmoja na siku 4 bado hauna info zilizoshiba japo kuna waliojitambulisha kwamba wanauza spea jumla. Sijui waTZ tunafeli wapi!!.
Wengi walishakurupuka wameanza hii biashara na wameshafilisika
 
Un
Kariakoo/sikukuu , bei zetu ni nzuri sana na spea zenye ubora mkuwa . Uliza kwa Kileo (WAWA)
UnA namba ya Whatsapp au email nikutumie list ya vipuri ninavyohitaji ili nijue bei kabisa ili ninapokuja huko niwe najua nakuja kuchukua nini na gharama yake
 
Kaka naomba Tujuane katika Hili aise naoma umaweza kuwa mchango sana kwangu

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Habari...
Salaam wana jukwaa...tafadhali ningeomba huu uzi ufufuke upya...
Kuna yeyote aliyefanikiwa kuanzisha hii biashara ya spea na kufanikiwa kuiendeleza hadi sasa...changamoto zake zikoje..?
Mimi binafsi nataka kuingia humu kwa kuanza kidogo kidogo
Mlio na experience mje tusaidiane

Sent from my SM-J510L using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…