Biashara ya vipuri vya pikipiki: Ushauri, michango, mawazo

Biashara ya vipuri vya pikipiki: Ushauri, michango, mawazo

ImageUploadedByJamiiForums1387768849.636392.jpgImageUploadedByJamiiForums1387768879.093081.jpg
duka linaitwa 'Kileo Genuine Motocycle & Spare Parts'
asnteni sana wadau!
 
... duka letu linauza kwa jumla na tunaagiza wenyewe vifaa kutoka China.
 
Nina kaduka kangu huku kijijn lakn msing mdogo huwez niamin ukanipa mzigo zen pesa itafata
 
View attachment 128280 View attachment 128281View attachment 128282
Wadau hongereni kwa kazi.
napenda kutambulisha duka langu la spare parts za pikpiki lililoko kariakoo mtaa wa Sikukuu/Amani. tuna vifaa vingi vizuri sana kwa bei nzuri.
tafaadhali wasiliana nami kwa no. 0658131333, email ni gkileo@gmail.com. pia no. yangu imesajiliwa kwa whatsapp ,we chat nk.
ndugu mdau utakaesoma hapa yawezekana ukawa huna duka wala pikipiki ,lakini mtaani kwako lipo. tafadhali mfahamishe kuhusu duka letu na mpe namba yangu pia waweza kunitumia namba ya simu ya mmiliki wa duka

Wewe unauza mapambo tu au na pikipiki unauza pia?
 
Vipi itahitaji mtaji wa kiasi gani wa chini kabisa ili kuanzisha biashara ya kuuza vifaa muhimu vya Pikipiki(Fekon, Kinglion, Toyo) kwa rejareja lakini nikinunua kutoka dukani kwako?
 
Vipi itahitaji mtaji wa kiasi gani wa chini kabisa ili kuanzisha biashara ya kuuza vifaa muhimu vya Pikipiki(Fekon, Kinglion, Toyo) kwa rejareja lakini nikinunua kutoka dukani kwako?

Hata mm ningependa kufahamu
 
Nina kaduka kangu huku kijijn lakn msing mdogo huwez niamin ukanipa mzigo zen pesa itafata

Mkuu haujanunua chochote unataka mali kauli!!!! ingia dukani uwe mteja kwanza, ukishafahamika inakuwa rahisi hata unapoingiza wazo hilo mtu kukubalia, hasa kama mtu anaona unazungusha pesa!
 
Mkonowapaka kwa mtaji wako mimi naweza kukuunganisha na kiwanda cha spea za piki piki kule China na utaweza kuagiza mwenyewe na utapiga hela sawa na hao wahindi.

Wewe ukiwa tayari utaniconsult, mimi ni importer wa vitu vingine ila kuna jamaa yangu niliwahi kumpa huo mchongo ila akakosa mtaji.
 
Konzogwe

Huo mtaji ni kiasi gani kwa makadirio ya chini?
 
Last edited by a moderator:
Napenda nichukue nafasi hii kuwashukuru wale wote waliopiga simu kuulizia vipuri mbali mbali na hasa wale waliofika Dukani na kununua vipuri mbali mbali kwa Bei za jumla ambazo ni za chini sana kuwawezesha kupata faida kubwa.
Pia soon tutakua na tairi za UKWELI kwa Bei ya cheee kabisa .ImageUploadedByJamiiForums1413399676.051282.jpgImageUploadedByJamiiForums1413399676.051282.jpgImageUploadedByJamiiForums1413399676.051282.jpg
 
Back
Top Bottom