Kayenga jr
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 443
- 349
Hiyo ni kote mkuu! Mambo yanabana kote kote! HAPA KAZI KWELI KWELIHabari za jioni wana JF? Mimi ni mfanyabiashara, ndogo ndogo aina ya bidhaa ninazo uza ni bedshit, taulo, mapazia, n.k cha kushangaza nilikua nafanya biashara vizuri na kuniingizia kipato kiasi lakini toka ameingia rais mpya hasa wiki hizi mbili biashara imekua ngumu kupita kiasi, mauzo yale ya laki mbili kwa siku yameshuka hadi elfu arobaini, mpaka najiuliza ni mimi tu nliyoanza kuishi kwa shida namna hii au na nyinyi wenzangu?
Na hali itazidi kuwa mbaya sana hasa kwa sisi watanzania wa hali ya chini! Sema sio mbaya tuzidi kumuomba Mungu atutie nguvuSasa hivi watu watanunua nyumba na viwaja kwa bei nafuu mabenk mengi wadaiwa wao hawajarejesha mikopo waliyokopa na waliweka vitu hivyo dhamana hivyo sio biashara tu kila sehemu sasa hivi deal zimepungua watu wanaishi kwa mshahara
Kikubwa kujituma na kuacha starehe ambazo hazina faida kitu ambacho nimejifunza kwa wenzentu waliondelea wanajirusha saana hawa hawa watu waliofanikiwa ila kila mtoko kwake unakuwa na faida ya kwenda kukutana na mtu ambae watafanya biashara sio kama sieNa hali itazidi kuwa mbaya sana hasa kwa sisi watanzania wa hali ya chini! Sema sio mbaya tuzidi kumuomba Mungu atutie nguvu
Kweli kaka Starehe zitatuzamisha zikiendekezwaKikubwa kujituma na kuacha starehe ambazo hazina faida kitu ambacho nimejifunza kwa wenzentu waliondelea wanajirusha saana hawa hawa watu waliofanikiwa ila kila mtoko kwake unakuwa na faida ya kwenda kukutana na mtu ambae watafanya biashara sio kama sie
hapana ngoja name nijaribu[emoji23] [emoji23] huogopi kufunga na wew?
Mkuu goods haziendi.. Nimeona nifunge nikomae na kutoa services.. Hizo naweza kufanya "home based business" na expiry date ya bidhaa naiepukaserio hapo unesea usingefunga, tuendelee kuishi kwa matumain ndugu huenda biashara ikabadilika tu.
Nimeshamuuzia mdau.. Kanirudishia mpungaNipangishie hiyo fremu
NADHANI HUJAELEWA HOJA,NI HIVI MFANO MM NIMEFUATA YOTE ULIO SHAURI ILA MWEZ ULIOPTA NIMEFUNGA HESABU YA SHILING LAKI MBILI WAHATI NILIKUWA NAKUSANYA M2.5 HADI 3MMkuu cha kwanza hakikisha biashara yako ipo "formalized" sajili katika mamlaka husika kama BRELA na Manispaa/Halmashauri upate leseni ya biashara. Pia hakikisha una TIN ili uwe unalipa kodi, lipa kodi zote kwa wakati.
Baada ya hapo lijue soko lako linahitaji nini... jua wateja wako wanauhitaji wa vitu gani halafu uwape kwa bei nzuri sio bei za kuwanyonya.
Kingine hakikisha bidhaa zako zina ubora mzuri na wekeza katika matangazo inavyostahili.
Kwa ufupi ni hivyo tu mkuu.
MkuuMkuu mauzo yake sio mazuri, shilingi elfu 40 akishalipia kodi ndio biashara itaenda vizuri.?
Me ningemshauri abadilishe biashara kwa kuuza bidhaa za vyakula kipindi watu wakiwa na kipato kidogo. Kuliko kuendelea kuuza mashuka na mapazia.
Mkuu
Hata kwenye biashara ya chakula napo mambo sio mazuri ki vile.
Sasa hivi watu wanakula milo 2 kwa siku na pia mezani mboga ni moja tu sio mboga 3 tena kama zamani.
Hahaaaa huku ni kuisoma namba sikuhizi bar kweupe kweli hali ngumu tutanyooka tu bila kupendaMkuu
Hata kwenye biashara ya chakula napo mambo sio mazuri ki vile.
Sasa hivi watu wanakula milo 2 kwa siku na pia mezani mboga ni moja tu sio mboga 3 tena kama zamani.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] umenipa ujuziPole sana mkuu.
Kwa kifupi hali ni tete sana sasa hivi.
Vile vile yakupasa ubadili hata lifestyle yako, kama ulikuwa unapata milo 3 kwa siku, sasa hivi kula milo 2.