Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,112
usijali, siyo wewe tu !! HIYO HAUPO PEKEE YAKO robotatu ya Biashara zimedoda...Biashara yangu inayumba siku hadi siku
Sitaki kumtupia lawama anko Magu moja kwa moja ila ukweli hali sio nzuri
Nilikuwa na uwezo wa kulala mpaka na faida ya laki tano kwa siku kwenye kabiashara kangu kakuungaunga ila nowdays nikilala na laki faida nashukuru sana
Mzee achia hela uraiani pleasee tutarudisha watoto kayumba muda si mrefu
Tutarudisha watoto kayumba schoolusijali, siyo wewe tu !! HIYO HAUPO PEKEE YAKO robotatu ya Biashara zimedoda...
Ndiyo lengo lao !! Wajinga na mbumbumbu wakiwa wengi, Serikali itatawala kwa urahisi..!!!Tutarudisha watoto kayumba school
mkuu mtaani pesa zimeadimika...cjui ndo znaelekea panama!Biashara yangu inayumba siku hadi siku.
Sitaki kumtupia lawama anko Magu moja kwa moja ila ukweli hali sio nzuri
Nilikuwa na uwezo wa kulala mpaka na faida ya laki tano kwa siku kwenye kabiashara kangu kakuungaunga ila nowdays nikilala na laki faida nashukuru sana
Mzee achia hela uraiani pleasee tutarudisha watoto kayumba muda si mrefu
Hela ndo ujuwe imepanda thamani, hapo awali laki tano upatikanaji wake ni easy lakini ukienda dukani kufanya manunuzi haibaki chenji, kama kuna wana uchumi humu walio bobea wanaweza kukupa tafsiri ya hiyo..Biashara yangu inayumba siku hadi siku.
Sitaki kumtupia lawama anko Magu moja kwa moja ila ukweli hali sio nzuri
Nilikuwa na uwezo wa kulala mpaka na faida ya laki tano kwa siku kwenye kabiashara kangu kakuungaunga ila nowdays nikilala na laki faida nashukuru sana
Mzee achia hela uraiani pleasee tutarudisha watoto kayumba muda si mrefu
hela kupanda thamani, maana yake pesa kidogo inunue vitu vingi. Sio kudolola kwa biasharaHela ndo ujuwe imepanda thamani, hapo awali laki tano upatikanaji wake ni easy lakini ukienda dukani kufanya manunuzi haibaki chenji, kama kuna wana uchumi humu walio bobea wanaweza kukupa tafsiri ya hiyo..
Jamaa amekaza sana
Na ww unaona fahari kuitwa mama wa nyumbani?Tunashukuru WA mama wanyumbani waume wanarudi mapema home naona vimada na pombe avina nafasi tunaheshimiana sasa.
a.k.a. GolikipaNa ww unaona fahari kuitwa mama wa nyumbani?
Naona mnahasira sana zamu yetu tuitwe baby,tumechoka kuitwa wewe njoo!a.k.a. Golikipa