Nashukuru kuwa mama wa nyumbani nawaleoa watoto vizuri nauonaukuaji wake vizuri na changamoto zinazowakabiri watoto tumegawana majukumu .nimehepuka watoto kuwekwa kwenye friji au kufanywa Mpira wa kombolela na wadada wa kazi.
Hata wateja wangu wa bodaboda cku hizi hawapandi tena wanatembea kwa miguu maafande wenyewe wakikunyaka ndo balaa zaidi kosa dogo tu wanataka hela za maji elfu 20.
Ama kweli tunaisoma namba!!!!