bintishomvi
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 1,164
- 833
Nashukuru kuwa mama wa nyumbani nawaleoa watoto vizuri nauonaukuaji wake vizuri na changamoto zinazowakabiri watoto tumegawana majukumu .nimehepuka watoto kuwekwa kwenye friji au kufanywa Mpira wa kombolela na wadada wa kazi.Na ww unaona fahari kuitwa mama wa nyumbani?