Biashara yangu inaniingizia faida ya Tsh. 200,000 kila mwezi; Je, Niiache niende chuo?

Biashara yangu inaniingizia faida ya Tsh. 200,000 kila mwezi; Je, Niiache niende chuo?

Huwezi kureplace elimu na pesa. Kuna watu wanafanya biashara wana pesa za kutosha lakini Maisha wanayoishi yanasikitisha. Usiache biashara. Ingia open university. Hata dropouts kama kina bill Gates waliona sababu ya kurudi Shule.
Hongera na Kila la kheri.

Sent using Jamii Forums mobile app

Elimu kwako ina maana gani King'asti
 
Huwezi kureplace elimu na pesa. Kuna watu wanafanya biashara wana pesa za kutosha lakini Maisha wanayoishi yanasikitisha. Usiache biashara. Ingia open university. Hata dropouts kama kina bill Gates waliona sababu ya kurudi Shule.
Hongera na Kila la kheri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bill gates alirudi kwa ajili ya kuongeza nguvu ya kampeni yao ya Back to school...yule bwana shule inamhitaji kule yeye anavyoihitaji shule
 
Mwanzo ajira nilizitafuta private serikalini sikuwa na vigezo kulingana na unavyoifahamu nchi yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ubunifu na kujituma kwako kutaifanya biashara yako ikuingizie kiasi kikubwa kwa mwezi. Kazana kuipanua biashara yako, mawazo ya kuajiriwa ni kujirudisha nyuma.
Wewe ndio unatakiwa kuajiri na sio kuajiriwa.
 
Kama unataka Tu ufahari WA kuwa Na degree nenda Chuo if not achana Na wazo hili.Kuza mtaji ongeza biashara Ile net profit izid kukua.Tunasoma Ili mwisho WA siku tupate pesa.Utaenda Chuo utasoma kwa shida ukieudi kitaa biznes ishakufa unaanza upya ina faida gan?
 
Siku hizi kuna vyuo vinatoa elimu ya jioni. Yaani evening classes. Sikushauri sana kuacha hiyo biashara yako maana unaweza kumaliza chuo ukarudi tena kukalia benchi. Cha muhimu ni kuendelea na vyote. Hata hivyo sio lazima sana usome chuo kikuu ili ufanikiwe. Nenda hata kasome hapo VETA.
 
Kosa kubwa utakalofanya ni kwenda kusoma ili upate pesa huku unaua mradi wa kukuingizia pesa litakuwa bonge la mistake.

Swali la kizushi. Kwanini usifikirie kupanua biashara yako ikawa kubwa yenye kipato kikubwa kuliko elimu unayoenda kuipata.!!??
 
Unaweza kuwa sahihi kabisa. Lakini Inawezekana nae ile label ya dropout ilimchosha. Well, mimi sio yeye lakini ingenichosha pia. Hebu focus kwa huyu jamaa.

Halafu Ningekuwa Yeye shule ingekuwa plan B. Naogopa Sana dead ends. Kuna wafanyabiashara Wamefika mbele wakakwama, na kujikuta plan B zimewatoa
Bill gates alirudi kwa ajili ya kuongeza nguvu ya kampeni yao ya Back to school...yule bwana shule inamhitaji kule yeye anavyoihitaji shule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom