Nakuelewa sana mkuuIongeze biashara yako tu mkuu, unaweza kuja university ukitoka huku bahasha zinakuhusu upyaaa, hapo ndio utajua kwann matajiri hawana elimu kubwa
Huwezi kureplace elimu na pesa. Kuna watu wanafanya biashara wana pesa za kutosha lakini Maisha wanayoishi yanasikitisha. Usiache biashara. Ingia open university. Hata dropouts kama kina bill Gates waliona sababu ya kurudi Shule.
Hongera na Kila la kheri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bill gates alirudi kwa ajili ya kuongeza nguvu ya kampeni yao ya Back to school...yule bwana shule inamhitaji kule yeye anavyoihitaji shuleHuwezi kureplace elimu na pesa. Kuna watu wanafanya biashara wana pesa za kutosha lakini Maisha wanayoishi yanasikitisha. Usiache biashara. Ingia open university. Hata dropouts kama kina bill Gates waliona sababu ya kurudi Shule.
Hongera na Kila la kheri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanzo ajira nilizitafuta private serikalini sikuwa na vigezo kulingana na unavyoifahamu nchi yetu.Bado una mawazo ya kuajiriwa?
Mwanzo ajira nilizitafuta private serikalini sikuwa na vigezo kulingana na unavyoifahamu nchi yetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bullshit! Bado una mawazo ya kitoto!Aisee! Very touching, biashara yangu na mtaji wangu ndo university.
ila napatamani nikiamini nikihitimu nitaanza kutembelea STK
Sent using Jamii Forums mobile app
Elimu kwako ina maana gani King'asti
ASANTE sana kwa ushauriUbunifu na kujituma kwako kutaifanya biashara yako ikuingizie kiasi kikubwa kwa mwezi. Kazana kuipanua biashara yako, mawazo ya kuajiriwa ni kujirudisha nyuma.
Wewe ndio unatakiwa kuajiri na sio kuajiriwa.
Bill gates alirudi kwa ajili ya kuongeza nguvu ya kampeni yao ya Back to school...yule bwana shule inamhitaji kule yeye anavyoihitaji shule