Tovuti zipi waweza soma elimu ya juu online? MsaadaUniversity ni hiyo biashara yako dont get twisted,hiyo ada ulinayo igeuze mtaji kisha fungua project nyingine...chuoni hamna kitu kule...kama ni kupata elimu utakua unasoma online ukiwa kwenye mambo yako,vitabu vyote vinavyotumika vyuoni viko kwenye mtandao tena bure.
Ushauri mzuri sana , kwa wale woote mnaoponda elimu ni kwa nini Bill Gate alilrudi chuo tena ?bill gate aliondoka havard akiwa na 19 na amerudi kusoma akiwa na 60 tena tajiri wa dunia na hata huyu atarudi chuo akiwa ameshatoboa.......huyu sio mjinga.. huyu ni form 6 leaver.. tena aliyefaulu na kuchaguliwa udsm inshort sio kilaza...
kufaulu form 6 ni ngumu kuliko kupata degree kwa vyuo vingi....
so huyu anatakiwa apate elimu practical kwenye biashara yake maana hana ndoto za kuajiriwa...
masomo ya vyuo vikuu akiamua anajisomea hata kwa kusikiliza lecturez youtube kila siku...
elimu ni knowledge sio cheti
Yani we mtoto umenichekesha balaa...Kabisa!...mi nimeajiriwa sioni hata nachokifanya zaidi ya kula na Ku.nya
Chaaa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Zipo nyingi bro,ingia google tafuta online course/study
Mkuu hiyo biashara yako ukiinvest akili zaidi ukawa na ubunifu utaona chuo ni kupoteza muda tuu..Aisee! Very touching, biashara yangu na mtaji wangu ndo university.
ila napatamani nikiamini nikihitimu nitaanza kutembelea STK
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umekaa Botswana nn, maana hio jina lako sio la kawaidaMimi sionagi nilifata nini University...
Ha ha ha
Zaidi yabilioni 1 au nimeelewa vbyUshauri mzuri sana , kwa wale woote mnaoponda elimu ni kwa nini Bill Gate alilrudi chuo tena ?
TheCIA Ushauri wangu hapo ndipo umuhimu wa OPEN UNIVERSITY ulipo na utapata elimu BORA sana kuliko UDSM at the same time unaendelea na biashara yako, mm ni mjasiriamali nilisoma OUT degree yangu ya kwanza nikiwa na mtaji zaidi ya 1. b Tzs niliweza kuongeza Tija sana kwenye biashara yangu nikaamua kusoma Masters UDSM ya Entrepreneurship Executive Programme, Mdogo wangu pamoja na mambo yoote bado ELIMU NI MUHIMU
Hahahaha... si n'chedhoZaidi yabilioni 1 au nimeelewa vby
Lengo siyo kusema ni biashara gani, au nilipata division ngapi au ni shule gani nilisoma darasa la kwanza mpaka la saba, au form six nilihitimu shule gani.Stori kibaaaao hujaandika hata ni biashara gani!
Asante sanaUshauri mzuri sana , kwa wale woote mnaoponda elimu ni kwa nini Bill Gate alilrudi chuo tena ?
TheCIA Ushauri wangu hapo ndipo umuhimu wa OPEN UNIVERSITY ulipo na utapata elimu BORA sana kuliko UDSM at the same time unaendelea na biashara yako, mm ni mjasiriamali nilisoma OUT degree yangu ya kwanza nikiwa na mtaji zaidi ya 1. b Tzs niliweza kuongeza Tija sana kwenye biashara yangu nikaamua kusoma Masters UDSM ya Entrepreneurship Executive Programme, Mdogo wangu pamoja na mambo yoote bado ELIMU NI MUHIMU
Ke teng rraHa ha ha
"Dumela rra" kwa mara ya kwanza umestukia jina Langu, Tswana
-Dumelang
Na yeye asomeshe !Huyo Mzee amesomesha wanae best schools abroad. Ndio wanasimamia biashara zake. Usifananishe factor moja tu ukaachia hapo. Kuna tender ili upate unaangaliwa na CV pia. Binafsi naamini Hakuna elimu mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Unatamani utumwa??? Huwa nikirejea Biblia nashangaa kuwa neno mwajiriwa halijatumiwa ila kwa sana nimeona neno "MTUMWA/WATUMWA (...enyi watumwa watiini Bwana zenu...)'' kwa kila aliyeajiriwa kwa mtu au taasisi anajulikana kama mtumwa. Sasa; kwa nini usikuze biashara yako ili uwe na watumwa wa kukutumikia, unaagiza tu anaenda, na wewe uwe unaitwa mwajiri...??? Kwa soko la sasa la ajira Tanzania utamaliza University then utarudi kwenye BAHATI NASIBU ya ajira huku kile ulichokuwa umekianzisha kama nguzo ya maisha yako kimeshakufa. Soma kama mtu mzima, unafanya kazi zako na unasoma pia. ALL THINGS ARE POSSIBLE, ONLY WHEN YOU BELIEVE!Aisee! Very touching, biashara yangu na mtaji wangu ndo university.
ila napatamani nikiamini nikihitimu nitaanza kutembelea STK
Sent using Jamii Forums mobile app