Biashara yangu inaniingizia faida ya Tsh. 200,000 kila mwezi; Je, Niiache niende chuo?

Biashara yangu inaniingizia faida ya Tsh. 200,000 kila mwezi; Je, Niiache niende chuo?

University ni hiyo biashara yako dont get twisted,hiyo ada ulinayo igeuze mtaji kisha fungua project nyingine...chuoni hamna kitu kule...kama ni kupata elimu utakua unasoma online ukiwa kwenye mambo yako,vitabu vyote vinavyotumika vyuoni viko kwenye mtandao tena bure.
Tovuti zipi waweza soma elimu ya juu online? Msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bill gate aliondoka havard akiwa na 19 na amerudi kusoma akiwa na 60 tena tajiri wa dunia na hata huyu atarudi chuo akiwa ameshatoboa.......huyu sio mjinga.. huyu ni form 6 leaver.. tena aliyefaulu na kuchaguliwa udsm inshort sio kilaza...

kufaulu form 6 ni ngumu kuliko kupata degree kwa vyuo vingi....

so huyu anatakiwa apate elimu practical kwenye biashara yake maana hana ndoto za kuajiriwa...

masomo ya vyuo vikuu akiamua anajisomea hata kwa kusikiliza lecturez youtube kila siku...

elimu ni knowledge sio cheti
Ushauri mzuri sana , kwa wale woote mnaoponda elimu ni kwa nini Bill Gate alilrudi chuo tena ?

TheCIA Ushauri wangu hapo ndipo umuhimu wa OPEN UNIVERSITY ulipo na utapata elimu BORA sana kuliko UDSM at the same time unaendelea na biashara yako, mm ni mjasiriamali nilisoma OUT degree yangu ya kwanza nikiwa na mtaji zaidi ya 1. b Tzs niliweza kuongeza Tija sana kwenye biashara yangu nikaamua kusoma Masters UDSM ya Entrepreneurship Executive Programme, Mdogo wangu pamoja na mambo yoote bado ELIMU NI MUHIMU
 
Kabisa!...mi nimeajiriwa sioni hata nachokifanya zaidi ya kula na Ku.nya

Chaaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani we mtoto umenichekesha balaa...

Sasa fanya hivi... Punguza kula, definitely utapunguza kunya...

Ukipunguza kula, utasevu pesa...

Ukisevu pesa, utapata mtaji...

Ukipata mtaji utaanzisha mradi/biashara yako.

Ukiikomalia vizuri... utapata faida...

Ukipata faida unaachana na kazi ya kuajiriwa... unajiajiri.

Ukijiajiri baadaye unaajiri...

Unaanza kula tena kwa wingi na kunya kwa wingi...

Baada ya hapo ndo utaiona faida ya kusoma.

........Vinginevyo utaendelea kula na kunya mpaka utakapoingia kaburini ukawape chakulacha bure funza.

Sema ahsante babu kwa ushauri kuntu.
 
Aisee! Very touching, biashara yangu na mtaji wangu ndo university.
ila napatamani nikiamini nikihitimu nitaanza kutembelea STK

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hiyo biashara yako ukiinvest akili zaidi ukawa na ubunifu utaona chuo ni kupoteza muda tuu..

Kupima mkojo na uchochezi wapi na wapi??
 
Brother, mimi nipo katika ajira , nimemaliza Chuo. Ila mshahara ninaolipwa hata mwisho wa mwezi hautoboi, hata ela ya maendeleo hamna. Pia kuna watu wamemaliza Chuo ila wapo mtaani hadi kesho na wamefaulu vizuri tuu. Kusoma ni moja na kupata ajira ni mbili. Sasa moja na mbili havifanani.
Ushauri wangu kwako ni kwamba imarisha biashara yako kwanza na uwekeze zaidi kwene secta ambayo haitaitaji uwepo wako , hapo sasa unaweza kwenda kusoma University bila stress. Ya chuo mengi, kuna kudisco na hasa zaidi unakuta ela ulionayo ikiisha ndo hakuna support tena, utapata stress na msongo wa mawazo hata kusabibisha kufeli. Imarisha biashara na uwe na uwakika wa cash flows wakati unasoma, na hata ukimaliza na kupata kazi, hela utakazozipata tayari zina mahali pa kwenda i.e kwene biashara yako hivyo hautakuwa na matumizi mabaya ya fedha. Brother Richest person in the world , angalia historia yao, ni ubunifu wa biashara. Business Business Business.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
piga biashara mkuu unasoma ili upate hela sasa hela unapata unataka kusoma ili iweje
 
chukua short course ya mamabo unayotaka kujua huku ukisimamia biashara yako..

kama unapeleka hiyo hela chuoni ili uje uajiriwe aisee naona kama utakuja kujuta ila pia unaweza fanikiwa pata ajira
 
Ushauri mzuri sana , kwa wale woote mnaoponda elimu ni kwa nini Bill Gate alilrudi chuo tena ?

TheCIA Ushauri wangu hapo ndipo umuhimu wa OPEN UNIVERSITY ulipo na utapata elimu BORA sana kuliko UDSM at the same time unaendelea na biashara yako, mm ni mjasiriamali nilisoma OUT degree yangu ya kwanza nikiwa na mtaji zaidi ya 1. b Tzs niliweza kuongeza Tija sana kwenye biashara yangu nikaamua kusoma Masters UDSM ya Entrepreneurship Executive Programme, Mdogo wangu pamoja na mambo yoote bado ELIMU NI MUHIMU
Zaidi yabilioni 1 au nimeelewa vby
 
Asante sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fanya biashara pambana ifanikiwe ikisimama nenda kasome ili upate maarifa zaidi ya kufanya biashara kwa mafanikio.
Fanya biashara achana na mawazo ya kuajiriwa uwe na mawazo ya kuajiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee! Very touching, biashara yangu na mtaji wangu ndo university.
ila napatamani nikiamini nikihitimu nitaanza kutembelea STK

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatamani utumwa??? Huwa nikirejea Biblia nashangaa kuwa neno mwajiriwa halijatumiwa ila kwa sana nimeona neno "MTUMWA/WATUMWA (...enyi watumwa watiini Bwana zenu...)'' kwa kila aliyeajiriwa kwa mtu au taasisi anajulikana kama mtumwa. Sasa; kwa nini usikuze biashara yako ili uwe na watumwa wa kukutumikia, unaagiza tu anaenda, na wewe uwe unaitwa mwajiri...??? Kwa soko la sasa la ajira Tanzania utamaliza University then utarudi kwenye BAHATI NASIBU ya ajira huku kile ulichokuwa umekianzisha kama nguzo ya maisha yako kimeshakufa. Soma kama mtu mzima, unafanya kazi zako na unasoma pia. ALL THINGS ARE POSSIBLE, ONLY WHEN YOU BELIEVE!
 
Back
Top Bottom