Biashara yangu inaniingizia faida ya Tsh. 200,000 kila mwezi; Je, Niiache niende chuo?

Aisee! Very touching, biashara yangu na mtaji wangu ndo university.
ila napatamani nikiamini nikihitimu nitaanza kutembelea STK

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatamani utumwa??? Huwa nikirejea Biblia nashangaa kuwa neno mwajiriwa halijatumiwa ila kwa sana nimeona neno "MTUMWA/WATUMWA (...enyi watumwa watiini Bwana zenu...)'' kwa kila aliyeajiriwa kwa mtu au taasisi anajulikana kama mtumwa. Sasa; kwa nini usikuze biashara yako ili uwe na watumwa wa kukutumikia, unaagiza tu anaenda, na wewe uwe unaitwa mwajiri...??? Kwa soko la sasa la ajira Tanzania utamaliza University then utarudi kwenye BAHATI NASIBU ya ajira huku kile ulichokuwa umekianzisha kama nguzo ya maisha yako kimeshakufa. Soma kama mtu mzima, unafanya kazi zako na unasoma pia. ALL THINGS ARE POSSIBLE, ONLY WHEN YOU BELIEVE!
 
Miluzi mingi humpoteza snoopy. Narudia tena, Usiache biashara. Soma online. Wakati Mzee bhakhresa anauza maji YA viroba hakuhitaji elimu wala technical people. Itafika mahali biashara itakuwa kubwa na utahitaji either reputation ama watu wa kuwatanguliza (sishauri Hii). Wala usisubiri wakati Manake Sasa unaweza kusoma hapo kwenye biashara yako na ukaongeza maarifa na kuboresha zaidi.

Kila la kheri
Lengo siyo kusema ni biashara gani, au nilipata division ngapi au ni shule gani nilisoma darasa la kwanza mpaka la saba, au form six nilihitimu shule gani.

Issue kuhusu niende shule au niendelee na biashara.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unatamani utumwa??? Huwa nikirejea Biblia nashangaa kuwa neno mwajiriwa halijatumiwa ila kwa sana nimeona neno "MTUMWA/WATUMWA (...enyi watumwa watiini Bwana zenu...)'' kwa kila aliyeajiriwa kwa mtu au taasisi anajulikana kama mtumwa. Sasa; kwa nini usikuze biashara yako ili uwe na watumwa wa kukutumikia, unaagiza tu anaenda, na wewe uwe unaitwa mwajiri...??? Kwa soko la sasa la ajira Tanzania utamaliza University then utarudi kwenye BAHATI NASIBU ya ajira huku kile ulichokuwa umekianzisha kama nguzo ya maisha yako kimeshakufa. Soma kama mtu mzima, unafanya kazi zako na unasoma pia. ALL THINGS ARE POSSIBLE, ONLY WHEN YOU BELIEVE!
Great.!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habari zenu,. Mwaka 2014 nilihitimu kidato ya sita shule mojawapo nchini, nikafanya application kuingia chuo kikuu nikachaguliwa kwenda kusoma course ya uchumi pale udsm.

Kwa bahati mbaya sikupata mkopo kutoka HESLB kwa ajili ya kuniwezesha kupata elimu hiyo ya juu,

Nikatazama nyuma na mbele nikagundua sina support kutokana na umasikini uliokithili ndani ya familia yangu,

Baada ya hapo nikachukua maamzi magum, nikasafiri kutoka mkoani mpaka jijini na nikafuta na kufuta kabisa mawazo ya hiyo elimu ya chuo kikuu kwanza kwenye ubongo wangu.

Mawazo yangu na bongo langu nikahamishia kwenye neno "ajira" nikaanza kutembeza bahasha la vyeti vyangu ya secondary kutafuta ajira hapa mjini, hata hivyo sikuweze kupata ajira baada ya kuzunguka sana na bahasha hapa jijini,. Baada ya changamoto hiyo ikanifundisha tena kubadili mawazo kutoka kutafuta ajira mpaka kutafuta "mtaji" ili nijiajiri, nikiwaza ni jinsi gani niachane na suala la kutembeza bahasha kila ofisi naonekana kama bango,

nikaamua kukusanya kamtaji kwa kuanzia na kale kale ambako nilikuwa nazunguka nako kutafuta ajira nikapiga vibarua vya hapa na pale, nikasaidia sana mafundi site mbalimbali, nikapata kamtaji, nikaachana kwanza na vibarua nikaanzisha biashara fulani.

kwa sasa biashara yangu hiyo inanilipa faida tasilimu ya shilingi laki mbili kila mwezi, na mpaka dakika hii nimeweza kukusanya ada ya kuweza kujilipia university nchini.,

Je niende chuo au niendelee na biashara yangu hii.

NB nikimuachia mtu kuisimamia hii business lazima ife ndani ya muda mfupi sana maana inahitaji kujitoa sana. Japo kulingana na hela niliyonayo cash lazima chuo nimalize bila wasiwasi kabisa..

Naombeni ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app

Mafanikio ya Biashara hayangoji, ila shule waweza kwenda soma siku yeyote ...
 
Laki mbili kwa mwezi ni sawa na 6650 kwa siku tu,na kwa mwak ni ml 2,400,000 tu.. Aiseee unaitafuta milion 2 kwa mwka,sijui ukishto matumiz au ni akiba tu sijui ni vip hapa,ila kiushauri tu wekeza zaid kwa biashara yako itanuke zaid uwe unauwezo wa kupta angalau milion kwa mwez then nenda shule kukuza ubongo wko japo ingefaa zaid ukasomee unachokifany kwa ssa
 
naomba kujua hiyo biahsara yako ni ipii please na mimi nijiungee...naomba please
 
SHULE NI UTOTO.
Achana na SHULE.
Usije ukajutia MUda uliopoteza.

WATU HUENDA CHUO KIKUU ILI BAADAYE WAJE KUTAFUTA AJIRA.

NAWE UMESHAIPATA NA COURSE YA UJASIRIAMALI NDIO HIYO UNAPIGA APPLICATION KABISA. KEEP IT UP

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Laki mbili kwa mwezi ni sawa na 6650 kwa siku tu,na kwa mwak ni ml 2,400,000 tu.. Aiseee unaitafuta milion 2 kwa mwka,sijui ukishto matumiz au ni akiba tu sijui ni vip hapa,ila kiushauri tu wekeza zaid kwa biashara yako itanuke zaid uwe unauwezo wa kupta angalau milion kwa mwez then nenda shule kukuza ubongo wko japo ingefaa zaid ukasomee unachokifany kwa ssa
200,000 ni net profit after all expenses.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakushauri mdogo wangu achana na chuo fuatana na masomo utafika mbali,najua unashangaa kusema achana na chuo angalia masomo.Ila namaanisha kuwa endelea kufanya biashara kwani ndio masomo yenyewe hayo,kuwa mbunifu,ongeza bidii,then baada ya miaka kumi au na zaidi kidogo utaanza kuwaajiri Graduates.Kwa nini that's impossibles seem to be possible.Ni kwa sababu huko Chuo hawafundishi somo la kutafuta hela.kule wanakujaza mawazo ya kupata ajira wakati wewe tayari umeshapata ajira na uko na potential ya ku create more jobs kwa hao Graduates wa baadae,Sure I am telling you.Masomo mengine unayoweza kuyafanya ni kama Kuongeza uelewa wa Lugha ya biashara na skills kama jinsi kutumia tools mbalimbali kama Computer.Kwa kuwa upo Dar es salaam,nakushauri jipange ukasome pale British council uongeze wigo wako wa Lugha ya kiingereza,ukiwa vizuri kwenye Lugha anza ku invest kwenye kusoma vitabu mbali mbali na articles tofauti tofauti za mambo ya kibiashara,kilimo na hata ufugaji.Ukifanya hivyo utapandisha ufahamu wako kuliko hata Graduates unakotamani ufike.Kama kuna mdau mmoja kakushauri pia unaweza kusoma online zipo kozi nyingi tu.Kwa kuanzia anza na English course ngazi tofauti tofauti pale British Council.Kwa kujua tu kiingereza ipasavyo na kuanza kusoma vitabu mbalimbali utakuwa umejikomboa kwa hatua kubwa sana.Wakati huo ongeza bidii kwenye biashara yako.Kwa sasa kuna biashara nyingi sana duniani ila huwezi kuwa na access nazo kama huna uelewa mpaka ambao hutoupata Chuo utaupata kwa wewe kujua kiingereza na kwa kusoma sana mambo mengi.Mfano kuna biaahara ya Forex au Currency Market,utaijua hii biashara kama unauwezo wa kujifunza kwa Lugha ya kiingereza na kama unauwezo wa kutumia nyenzo kama Computer.Angalia uzi mmoja kuhusu Forex humu humu Jamii Forum unaohusu Forex ulioanzishwa na bwana mdogo tu.Ontario.kila la kheri katika ku hustle kwako

Asante sana kwa ushauri wako mzuri, ushauri wako nimeuzingatia na kwa suala la English kwangu naona siyo tatizo hata kidogo I know it well,

Kuhusu matumizi ya computer niko vizuri Tu ispokuwa maintenance ndo niko empty,

Huwa nasoma sana vitabu mbali mbali mpaka sasa na
Cashflow Quadrants na rich dad poor dad vimenisaidia sana mpaka hapa nilipo,

Chuo sitaenda tena ni bora nisome kwenye mitandao tu kujiongezea maarifa kwa sababu naamini mlionishauri wengi wenu ni graduates. You know well what you are talking.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom