Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli mkuu, mimi kuna chuo nimesoma kuna baadhi ya maprofesa wamechoka hadi una wahurumia yaan wanang'ang'ania kuongezewa mikataba kila inapoisha.Verybad.....ila hata ukiangalia hali za maprofesa wetu vyuoni si nzuri kwakweli,
Kabisa mkuu mada ya leo ni nzuri sana na tunapata mwanga wa kujua dunia inataka watu wa aina gani kadri mda unavyokwendajapo lugha ni tofauti lakini walau leo nimeona some glimpses za JF ya zamaaani......mahala ambapo palikua very challenging na mada zinazobadili mitazamo kabisa.
asanteni wadau
Hapana wazee wetu hawakukosea kutuaminisha hivyo, ila nyakati zao ni tofauti sana na nyakati zetu, mfn aliyekuwa na elimu ya darasa la nne soon after independence alikuwa mtu wa maana sana, after independence wazee wetu hawakuzidi milion tisa kwa idadi, leo we are talking of 50 milions and above, tafsiri yake ni kwamba many things are outdated and not applicable any more though they are still our pillar we can not ignore them. Hivyo kwa leo kuwekeza kwenye Booksh Education haina uzito km zamani japo ina umuhimu.Dah inaboa kichizi yani, mwisho wa siku kumbe degree sio maisha yani kama tulivyoaminishwa na wazee wetu bali imebaki kuwa intellectual joy. Jiulize ile ada ya miaka mi3 au mi4 ungeitawanya katika biashara ndogo ndogo tatu au 4 ungekuwa wapi sahivi kaka???

AsanteKabla sijamaliza kusoma comment za wengine, nimeamua kukoment, binafsi ni mtumishi wa umma, lakini nawaza laiti nimgekomea darasa la saba, kidato cha nne au situ tu naamini ningekuwa mbali sana, nakuhakikishia usitamani kwenda kukaa darasani kusoma kwani lengo la kusoma ni hatima yake kuwa na maisha mazuri, lakini ni wasomi wachache wenye maisha mazuri. Kwa historia yako wewe unatoka kwenye familia sawa na mimi, sasa nakuomba inama umshukuru Mungu kwa ulipofikia, KAZI ZA KUAJIRIWA HASA SERIKALINI NI ANUANI TU NA SIVINGINEVYO yaani ujulikane kuwa huyu ni mfanya kazi maahala fulani ila HAMNA KITU. Kama unatamani kusoma naamini ukisha kaa sawa unaweza kwenda ukasoma hata kwa lesure tu, ila usiende kusoma as a way of solving your problems. Ujasiriamali ni zaidi ya kazi za kuajiriwa. Kama post yako ni kweli basi usijiroge kwenda kusoma ukaacha biashara yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kuleta hii mada hapa ni somo tosha. Naamini kuna watu wengi tutatoka hapa tumepanuka mawazo. Na yeyw akitoka hapa lazima apanuke kifikra na najua kuna siku atafungua Uzi mwingine kufundika wengine jinsi alivyoanza kutengeza milioni kutoka laki 2 kwa mweziMimi nilifikiri utafundisha wengine jinsi ya kupata hiyo laki mbili Kwa mwezi coz ndio kazi ya jamii forums kumbe issue ni hiyo,basi achana na mambo ya chuo pigana hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujuzi wote upo kwenye vitabu. Atakachokufundisha professor lazima kipo kwenye vitabu.SHAMAC Hebu shauri mdau hapa. Mimi Niko sorted na bado nakusanya formal and informal education. Sasa maana yangu YA kusema atafute shule ni kuwa itamuongezea uwezo wa kukabiliana na changamoto (confidence pia).
Mshawishi kwa Nini asiende chuo? Hizi matambo zetu za ku-define elimu zitamkonfyuzi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Chuo ni kila kitu kwa wenye mawazo ya kuajiriwa tu. Kwa hapa jamaa alipofika anahitaji kuongeza ujuzi wa jinsi ya kupanua biashara yake, kitu ambacho anaweza kukipata kwenye vitabu. Akishafikia malengo fulani anaweza kurudi shule ile na yeye atambulike kwamba ana digrii.Baba chuo ndo kila kitu nenda kasome hizo kazi zipo tu
Chuo ni kila kitu kwa wenye mawazo ya kuajiriwa tu. Kwa hapa jamaa alipofika anahitaji kuongeza ujuzi wa jinsi ya kupanua biashara yake, kitu ambacho anaweza kukipata kwenye vitabu. Akishafikia malengo fulani anaweza kurudi shule ile na yeye atambulike kwamba ana digrii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, nimekuwa na utamaduni wa kujisomea vitabu kadhaa kila mwaka, Japo kuwa mwaka huu nimebanwa ila mpaka sasa nimesoma vitabu vitatu